Ila na wao ni wananchi wanastahili kutunziwa siri zao kama wewe unavyotunziwa hata hivyo hao wengine kesi zao zikomahakamani na mahakama ndio inahukumu wewe huna uwezo wa kuhukumu kama unafikiri waliiba au kufanya chochote cha kuvunja sheria na una ushahidi peleka suala lako katika vyombo vya sheria --- hapo tukokwa maslahi ya nchi sio mtu mmoja mmoja au makundi ya watu au vyama au dini au kabila
Una maana hatuna haja ya kuweka Polisi na mahakama kwani kila mmoja ana haki ya kufanya anavyotaka?