sijamuona siku nyingi kidogo nimeamua kuulizia leo yupo kweli? ...mtu akimuona akikatiza kwenye post yoyote tafadhali amuambie kuna mtu anamsalimu
Nipo naye hapa tunakula maisha...kama una ujumbe wake nipe..nimemkataza kuingia JF kwa sasaanakula bata ughaibuni!!!!
Nipo naye hapa tunakula maisha...kama una ujumbe wake nipe..nimemkataza kuingia JF kwa sasa
sijamuona siku nyingi kidogo nimeamua kuulizia leo yupo kweli? ...mtu akimuona akikatiza kwenye post yoyote tafadhali amuambie kuna mtu anamsalimu
salama kabisa...nipo naomboleza tu machungu ya jana. Vp leo, tunatoka??kheee mkuu habari za saa hizi..
salama kabisa...nipo naomboleza tu machungu ya jana. Vp leo, tunatoka??
Usinikumbushe kabisa....wale watoto jana walikuwa wanacheza jihad sana!!! waliniharibia siku yangu!!Ndo maana uko kama bundukiNikisema thwantwea unatimuka kwenye komputa yako.
Usinikumbushe kabisa....wale watoto jana walikuwa wanacheza jihad sana!!! waliniharibia siku yangu!!
itabidi tu nijiunge kwenye chama lako...sasa nani atakuwa anambembeleza mwenzake?he he he
aliyekuambia uende huko nani?
Hao wanacheza mpira wa ubuyu tu, ni ladha tu na makelele mengi bila magoli
njoo huku kwetu angalau tunajikongoja
itabidi tu nijiunge kwenye chama lako...sasa nani atakuwa anambembeleza mwenzake?