Mpoki...

Mpoki anamaneno sana...kuna siku alikuwa redioni akihojiwa mtu akatuma sms akisema eti "mpoki unaongea sana punguza maneno" yeye akajibu "ningekuwa bubu unganijua???" hahahahahahah
 
Una mawazo ya kibwege sana we mrembo.
Sasa kwa nini demu wangu asikupende wakati we ni mwenzie tuu. Hamna mnachotofautiana as long as majukumu yake yote huwa unayaperform vizuri tuu hasa yale ya kindoa.
Aaah baby H!! Does this make any sense to u?!

kipaji na muonekano havinunuliwi dukani!!!we tukana mpaka uchoke ila jua Mungu ndo kampa dogo kipaji na muonekano!
 
Alitoa na hii, binadamu bwana kujifanya wasafi samaki maisha yake yote anaishi baharini ukishamvua eti unajidai kumuosha!
 
Mama yake alipomzaa ocean road si angemsogeza tu pale jirani kwa baba Ridhiwani akatokelezea mle.jamaa ni noumaaa
 
Mpoki yupo juu. Alinifurahisha jana,
Hakuna Mkate Mgumu mbele ya Supu.
Ukiwa ndani ya SUTI usiongee POINTLESS!

Hapo ni kichwa kimoja tu! Majuu comedian wengi mpaka waandikiwe points za kumwaga jukwaani (scripts),shule za sanaa ya maigizo n.k. Si mliona script writers walipogoma? Nampongeza Mpoki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom