Mpoki...

we dada mbona mkorofi ka unakaa mwembechai by Mpoki

mmmh mwenyewe Angela leo ana hasira kama vile katumwa na kapten komba kwa mpoki

hahahaa weupe si deal siku hizi ndo maana hata ubuyu unapakwa rangi hahaaa lol
 
kuna muda alisema namlaumu sana mama angu maana alinizaa ocean road,,,, alishindwa nini kunitupia ikulu mita nne tu,leo hii maisha ningekuwa nimeyapatia..............alooo mpoki kiboko
 
nilikua mwenyewe mkuu ila aliposema iyo nikacheka kama vile niko kwenye kundi la watu...
 
mmmh mwenyewe Angela leo ana hasira kama vile katumwa na kapten komba kwa mpoki

hahahaa weupe si deal siku hizi ndo maana hata ubuyu unapakwa rangi hahaaa lol

ha ha ha!...
 
mpoki noma ucpime, siku hizi comedy anachekesha huku kavalia suti tofauti na zamani lazima ujipake masinzi ndio watu wacheke...!
 
Usiumie dogo!kuuchukia muonekano wangu ni kuichukia kazi ya Mungu...uumie usiumie ukweli unabaki kama mimi muonekano nnao na nyota inang'aa mjini hapa!!!sura mbaya mna chuki sana mkiona watu mauzo mnakimbilia katika upunga!!!hapa mauzo mia

Hahahaha, mkuu ebu kaa uwe unasoma unayo andika maana unatia shaka kweli, ni vigumu sana kwa mwanaume aliye kamili mwenye akili sawa kujisifia kama wewe ufanyavyo. Hivi we wadhan ndiye una sura nzuri kuliko wanaume wote?
Wanaume uwa hawajisifii uzuri usione watu wamekaa kimya ukadhan labda wana sura ngumu halafu wajisifia wakati hata hatukuoni kijana.
 
Very funny!kwani lazima kila mtu amjue huyo mpoki?mimi nishamwona kwenye tv niliangalia baada ya kusikia watu wakisifia sana ze komedi
 
Hahahaha, mkuu ebu kaa uwe unasoma unayo andika maana unatia shaka kweli, ni vigumu sana kwa mwanaume aliye kamili mwenye akili sawa kujisifia kama wewe ufanyavyo. Hivi we wadhan ndiye una sura nzuri kuliko wanaume wote?
Wanaume uwa hawajisifii uzuri usione watu wamekaa kimya ukadhan labda wana sura ngumu halafu wajisifia wakati hata hatukuoni kijana.
Kipande kinauzika hiki!na ninajijua kama unataka kuhakikisha niyasemayo nipe namba ya demu anayebabaikia wauza sura nikutane nae akupe taarifa
 
Hahaha, aya bana ukikua utaacha hata sisi tulikuwa kama wewe lakini si kihivyo wewe umezudisha lakini tushakuwa watu wazima tushaacha so ni muda wako.
Note: kama kuuza sura yako hakumake ela basi haimake sense kuendeleaa kuuza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom