Mpoki...

si ungekaa silent kwn lzima ucoment, ndo maana alipewa kushereesha sehem nyet kuliko nyeti uliokuwa nayo, mbona hawajakupa wewe?
ni mwanaume nyeti kwako kuliko nyeti aliyonayo mama yako. Pumb.afu wewe, usinitukane sababu ya kutokuwa na hobbie na mtu, NILICHOSEMA MIMI SINA HOBIE NAYE SIJAMTUKANA WALA KUTUKANA MEMBER YOYOTE,kinachowafanya mnijie juu km moto wa kifuu ni nini? Km mnamshobokea kimpango wenu mi simshobokei.
 
Kama huna hobbie naye mbona umechangia hapa? Ungepotezea tu. Jana alitolea mfano wa watu kama nyie ambao mnajidai hamumfahamu, eti kwani hamna TV kwenu! Kama mna TV lazima umfahamu mpoki!!
unajuaje kama nina Tv?na kama ninayo ni lazma niangalie vipindi vyake? tumia akili kidogo
 
Huyu mpoki noma kiaina!alishantoa nishai ya kiutani katika foleni selander bridge!!!!ila muonekano nao unambeba!!cheusiii na kitumbo chake kama kiroba!!!wachekeshaji wako mtoni mtu handsome lakini anachekesha!
bado unafikra za kitumwa mpoki ana kipaji cha kuzaliwa au kwasababu mweusi ndo nyinyi mnafikra za mzungu hakosei toa LIKE hiyo acha choyo
 
ni mwanaume nyeti kwako kuliko nyeti aliyonayo mama yako. Pumb.afu wewe, usinitukane sababu ya kutokuwa na hobbie na mtu, NILICHOSEMA MIMI SINA HOBIE NAYE SIJAMTUKANA WALA KUTUKANA MEMBER YOYOTE,kinachowafanya mnijie juu km moto wa kifuu ni nini? Km mnamshobokea kimpango wenu mi simshobokei.
Mwanamke wewe una mdomo mchafu kuliko hata vyoo vya sokoni!
 
Jana mpoki aliniacha hoi jamaa ni balaa pale aliposema baba ako kakuachia urithi baiskeli haina hata pampu lazima ulie sana tukiacha ya mpoki kulikuwa na maduu wanapanda steji na vimini kuna masista wameumbika kaama mtoto wa khadija kopa da lile mini tu mi hoi mtoto kajaliwa
 
umekurupuka, msome tena kaka, angela hakusema hamfahamu, amesema hana hobby naye. usimlazimishe amshabikie kama hataki vipi bana.
mi namshangaa sana huyu REJAO na wenzie mi nimesema sina hobbie naye wanakuja juu, inaonyesha jins gani walivyozoea ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI, kila kitu kwao lazma wasema NDIYOOOOOOO hata kama hawakitaki, ccm imewaharibu sana hawa.
 
Kama huna hobbie naye, kwenye thread inayomuhusu unafanya nini? Acha kiherehere!!
 
Kimsingi jamaa jana amefanya vizuri tofauti na matarajio ya wengi(hasa mimi) hasa ukizingatia kuwa umaarufu wa kundi lake ze comedy original umeporomoka kama pangani water falls. Na hii ni kutokana na kuwekeza kwenye kutukana wa2 kwa kutumwa na mafisadi badala ya kuchekesha. So tumpe credit kwa kazi ya jana was great.
 
Ujue unamshobokea, sredi ina title Mpoki!! Umeifungua haraka haraka na kuchangia ya nini? Vitu vingine vinahitaji mtu kutumia akili kidogo sana..
kwani Tanzania nzima Mpoki ni huyo mmoja tu mpaka nikikuta jina MPOKI nisifungue thread?? Tumia hata makamasi kufikiria huwa yanasaidiaga watu kama nyie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom