Mpoki (Orijino Komedi) apata ajali

Injinia

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
849
26
Kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "Orijino Komedi", Mpoki (Sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja ambaye jina bado halijapatikana.

Inasemekana Mpoki amevunjika mkono, kapata matibabu Mikocheni Mission Hospital na kuruhusiwa ila mama huyo amelazwa TMJ.

Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?
 
du! bepari la kihaya!!?

atapona tu,alikuwa kalewa?
chanzo cha ajali ni nini?

anyway huyu jama mi huwa ananifurahisha sana, we kama anakuboa unaipotezea tu chanel!!
 
Kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "Orijino Komedi", Mpoki (Sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari

kafanye sherehe sasa mkuu.
 
Burn vipi? Nifanye sherehe juu ya mtu mwingine kuumia? Niliposema kuwa anaboa watu wengi si kuwa namaanisha ananiboa na mimi. Kusema kweli yeye na Joti ndio waliokua sababu kuu ya mimi kuangalia Orijino Komedi nilipokuwa Bongo.

Nimesema anaeboa watu wengi kutokana na thread ingine iliyowahi kuwa hapa watu wengi wakasema anawaboa.
 
Nilidhani hii habari imekufurahisha mkuu, lakini unaweza ku edit post yako maana inaonekana kama unashabikia kuumia kwake.
 
Pole sana Mpoki!!

Arikuwa anaendeshaga lile li Hummer lake "September 2009 release"?
 
Hakuna mtu anayeombewa apate ajali Labda awe mhalifu sugu anayeogopeka na kila raia...

Lakini kwa mtafuta riziki kama yeye, May God Give him a Good health immediately!
 
kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "orijino komedi", mpoki (sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja ambaye jina bado halijapatikana.

Inasemekana mpoki amevunjika mkono, kapata matibabu mikocheni mission hospital na kuruhusiwa ila mama huyo amelazwa tmj.

Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?
get well soon tajiri la bhukhobha
 
pole mpoki wengine tunakupenda
wanaokuchukia hiyo ni katika kazi za uigizaji
get well soon
 
Kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "Orijino Komedi", Mpoki (Sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja ambaye jina bado halijapatikana.

Inasemekana Mpoki amevunjika mkono, kapata matibabu Mikocheni Mission Hospital na kuruhusiwa ila mama huyo amelazwa TMJ.

Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?

Umefanya utafiti ukagundua hivyo.don't be too general!!!!!!!Kwa mfano mimi aniboi na najua kun wengi hawaboi
 
Kuna habari kuwa yule muigizaji anayeboa watu wengi kuliko wote wa kundi la "Orijino Komedi", Mpoki (Sylveri) ameapata ajali jana usiku baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja ambaye jina bado halijapatikana.

Inasemekana Mpoki amevunjika mkono, kapata matibabu Mikocheni Mission Hospital na kuruhusiwa ila mama huyo amelazwa TMJ.

Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?

imekaaje hiyo?wewe ni Mtz kweli?mtu anaweza kuvunjika mkono na kuruhusiwa muda huohuo?
 
Furahia
weekend-15.gif
 
Burn vipi? Nifanye sherehe juu ya mtu mwingine kuumia? Niliposema kuwa anaboa watu wengi si kuwa namaanisha ananiboa na mimi. Kusema kweli yeye na Joti ndio waliokua sababu kuu ya mimi kuangalia Orijino Komedi nilipokuwa Bongo.

Nimesema anaeboa watu wengi kutokana na thread ingine iliyowahi kuwa hapa watu wengi wakasema anawaboa.

Kumbe? Sasa hivi uko wapi?
 
Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?

Jeshi letu la POLISI wanalishugulikia, mtu anayetaka updates/ accident details atapata kwa polisi.
 
Wenye habari zaidi tafadhali mtujulishe, kwa mfano je ajali hiyo ilitokea katika mazingira gani?

Jeshi letu la POLISI wanafuatilia kwa karibu, mtu anayetaka updates/ accident details atazipata kwa polisi.
 
kamanda hiyo lazima aitoe kwenye luninga, mtaona next week,
pole sana mpiganaji, labda watu hwajui ulikotoka enzi zileeeeeeee------90s
 
Ahha!! my friend mbona usinijulishe? kama umepata ajali my god mpe uwezo apone haraka. Unajua mimi nilipokuwa hapo Home nilikuwa naangalia sana Orginal Komedy sasa huku ughaibuni akuna. Pole sana. Ujumbe utufikishie TBC ipatikane katika NEt Live mbona inawezekana.
Wewe Edit Header yako unayesema kakuboa.....ohh kama una maneno usiweke thread. au kama anakuboa channel Ipotezee tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom