Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
NDOTO za Yanga kufanya vizuri kwenye Kombe la Shirikisho la CAF zinaelekea ukingoni baada ya jana Jumanne, Julai 26 kupokea kipigo cha mabao 3-1 ugenini kwa Medeama jijini Accra, Ghana.
Hakuna chochote wanachoweza kukisema kama utetezi wao wakaeleweka na Watanzania, kwa sababu walipata fursa za nyumbani mbili wakashindwa kuzitumia.
Kilichowaponza zaidi Yanga ni ‘utaalamu’ wao wa kucheza na vyombo vya habari – hasa magazetini – na walibweteka mno kwa ‘mpira huo wa magazetini’ kuliko kuandaa mbinu za medani ambazo zingeweza kuwasaidia wakafanya vizuri.
Soma zaidi=> ‘Mpira wa magazetini’ waiponza Yanga, yaambulia patupu Kombe la Shirikisho | Fikra Pevu