MPIRA vs NDONDI wapi na wapi?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Nugu zangu watani wangu kina chisora ndio mpira gani tena mnataka ku u introduce nchini mwetu?

DSC_1242.JPG
421580_254639527956783_100002322136755_554155_554979045_n.jpg Dereck-Chisora-007.jpg

DSC_1332 (1).JPG
ndungu zetu mmeugeuza mpira kuwa uwanja wa vita? nafasi za jeshi zipo kibao kajiungeni tuachieni sisi tupige kabumbu.Hamkumuona Kaseja juzi alivyokuwa anawaanzia mabeki? mlishindwa hata kuiga?
 
Mtani kweli nimeona aibu sana, tunashindwa kucheza mpira mpaka tunapigana dah! basi watupangie pambano na Cheka au Matumla, Yanga tumetia aibu sana
 
Nampa pole Mwamuzi huyu
Wape pole Canavaro na Niyonzima. Canavaro ategemee ban ya miezi sita (iwapo TFF watatumia sheria zile zile walizotumia kwa Boban mwaka juzi), na Niyonzima itakuwa at least mechi mbili. Mwasika naye akae mkao wa adhabu ya ban miezi sita, kwani alirusha ngumi pia, na Tegete aliingia uwanjani wakati alikuwa benchi, naye ategemee lolote. Mwamuzi sioni alichoharibu!
 
Huyu refa anaitwa Mujuni Israel ni mwalimu alifundisha sana pale Tambaza High School walichokifanya hawa wachezaji wa Yanga kimemvunjia heshima huyu mtu lakini heshima yao imeshuka maradufu.
 
Nugu zangu watani wangu kina chisora ndio mpira gani tena mnataka ku u introduce nchini mwetu?

View attachment 49036
View attachment 49034View attachment 49035

View attachment 49037
ndungu zetu mmeugeuza mpira kuwa uwanja wa vita? nafasi za jeshi zipo kibao kajiungeni tuachieni sisi tupige kabumbu.Hamkumuona Kaseja juzi alivyokuwa anawaanzia mabeki? mlishindwa hata kuiga?

Haya mambo tulitegemea tuyaone Somalia,Iraq au Afghanistan lakini sio bongo huu ni uhuni usivumilika kabisa,inabidi turekebishe sheria za mpira wachezaji wanaopiga marefa wapelekwe jera tu ili wapungue wabaki washaarabu
 
Watani zangu wametia aibu kubwa..kitendo walichokifanya hakina tofauti na cha mipira ya michangani yaani Yanga nidhamu ziro...na ubingwa ndio huo bye bye.
 
Nawapongeza yanga kwa kutoa dozi kwa yule refa pumbav.sms sent kwa marefa wote wajingawajinga.
 
Kama utakumbuka ligi ya msimu uliopita ilivyokuwa basi hautapata shida ya kumjua bingwa wa msimu huu.
Haha haa...! eti Wambura hafai kugombea nafasi yoyote TFF, asije akaiharibu ligi bora kabisa Afrika Mashariki ambayo refa anaelekezwa matokeo ya mechi akakayoichezesha kesho yake yawe namna gani...! Acha tubaki hapohapo 137.
 
Nawapongeza yanga kwa kutoa dozi kwa yule refa pumbav.sms sent kwa marefa wote wajingawajinga.

Wewe wapongeze tu, watakapopewa kibano si chini ya miezi sita hakuna kugusa mpira kwenye viwanja vya maana ndo utajua walichofanya ni kitu kinachofaa au la.
 
Wewe wapongeze tu, watakapopewa kibano si chini ya miezi sita hakuna kugusa mpira kwenye viwanja vya maana ndo utajua walichofanya ni kitu kinachofaa au la.
na ndio hivyo mmewasifia na wamekula kibano. dah yanga yangu sijui inaenda wapi
 
na ndio hivyo mmewasifia na wamekula kibano. dah yanga yangu sijui inaenda wapi
Ni kweli mkuu hawa wachezaji sijui wanatupeleka wapi, mimi sio mshabiki wa Yanga lakini kwa kitendo kile hata kama wangekuwa ni Simba yaani Okwi, Kazimoto, Kaseja, Sunzu na wengine wachezaji tegemeo wa Simba offcourse ningehuzunika lakini bado ningeunga mkono adhabu ya kufungiwa, kimpira ni utovu wa nidhamu lakini vile vile ni kosa la jinai, polisi walitakiwa wawakamate na kuwashitaki kwa kosa la kumpiga mtu, kuna yule mwanamziki alikula kifungo gerezani mwaka mmoja kwa kosa la kumpiga mtu ukumbini.
 
Wape pole Canavaro na Niyonzima. Canavaro ategemee ban ya miezi sita (iwapo TFF watatumia sheria zile zile walizotumia kwa Boban mwaka juzi), na Niyonzima itakuwa at least mechi mbili. Mwasika naye akae mkao wa adhabu ya ban miezi sita, kwani alirusha ngumi pia, na Tegete aliingia uwanjani wakati alikuwa benchi, naye ategemee lolote. Mwamuzi sioni alichoharibu!

Huwezi kuona,ksbb umesimamia ki'ushabiki zaidi si ki'hali halisi,haya Mwamuzi alikuwa best kabisa kama angekuwa anakuwa evaluated on the same criteria na wachezaji alikuwa nyota wa mchezo au siyo?
 
Wewe wapongeze tu, watakapopewa kibano si chini ya miezi sita hakuna kugusa mpira kwenye viwanja vya maana ndo utajua walichofanya ni kitu kinachofaa au la.

Ile ni fundisho,wanapochukua hela kutoka kwa Matajiri wanaomiliki team ili kupindisha sheria 17 za soka waangalie namna ya ku'balance otherwise watakuja kupasuliwa mafuvu siku 1,ban ya mwaka m'1 sijui miezi 6 kitu gani,alifungiwa Nabii wa Lubumbashi Tresor Mputu itakuwa Mwasyika, pole zake sana, cha moto alikiona
 
Haya mambo tulitegemea tuyaone Somalia,Iraq au Afghanistan lakini sio bongo huu ni uhuni usivumilika kabisa,inabidi turekebishe sheria za mpira wachezaji wanaopiga marefa wapelekwe jera tu ili wapungue wabaki washaarabu

Check sura ilivyomkakamaa hata aibu haoni,bahati yake wangemvunjavunja kichwa kwa magumi siku ile
 
Embu acha umbea wewe,mbona Ulimboka Mwakingwe alimpiga Nsajigwa CCM kirumba?
 
Haha haa...! eti Wambura hafai kugombea nafasi yoyote TFF, asije akaiharibu ligi bora kabisa Afrika Mashariki ambayo refa anaelekezwa matokeo ya mechi akakayoichezesha kesho yake yawe namna gani...! Acha tubaki hapohapo 137.

Hapo juu namna hiyo tushuke zaidi tu,ndo kilichobaki
 
Back
Top Bottom