Mpigie kura Teddy Kalonga Spike TV

LOL...unakumbuka ugomvi wake na Mange?

ugomvi wa mange na TK unaingianaje na hii issue ya yeye TK kutafuta kazi?,kwanza hayo ni mambo yameshapita na wakati na watu wame move on, inabidi tugange yajayo.tuache kufikiria past let us think of present "focus people".
 
My daughter

Hebu niPM tuongee chemba....

Asante!

No father,what you are trying to say is not fair enough.Kila mtu na kazi yake alafu daddy this is the thing siyo lazima wote tuwe na akili sawa.Na kuanza ku mjdge mtu na fani yake siyo vizuri kabisa what if mimi binti yako nikiamua kuwa striper utaniita malaya?.
 
Usiwaze kuwa stripper nikiwa bado hai, please niPM
 
My daughter

Usiweze kuwa stripper nikiwa bado hai, please niPM

Daddy,hilo lilikuwa ni swali tuu siwezi kuwa stripper kwani nina tarajia kuwa mama in few months to come.Na hilo swala la stripper halipo kichwani ila ilikuwa ni swali tuu,maana inaniuma sana kuona watu wanavyomuandama binti wa watu na kazi yake kama mtu unaona huwezi kumpigia kura basi muacheni tuu.Alichovaa yeye ni juu yake yeye na ni masiha yake anatafuta ridhiki yake.
 
,kwanza hayo ni mambo yameshapita na wakati na watu wame move on, inabidi tugange yajayo.tuache kufikiria past let us think of present "focus people".

Hii ni movie bibie lazima iwe na flash back tunasonga mbele lakini nyuma nako muhimu.
 
Kama hataki watu wamjadili aache kujiweka hadharani kwenye mabulogi....it just comes with the territory...
 
Daddy,hilo lilikuwa ni swali tuu siwezi kuwa stripper kwani nina tarajia kuwa mama in few month to come.Na hilo swala la stripper halipo kichwani ila ilikuwa ni swali tuu,maana inaniuma sana kuona watu wanavyomuandama binti wa watu na kazi yake kama mtu unaona huwezi kumpigia kura basi muacheni tuu.Alichovaa yeye ni juu yake yeye na ni masiha yake anatafuta ridhiki yake.

OK my daughter, play safely I will be happy to be a grandpa....huwa nina sahau sana unajua umri tena atakuwa mjukuu wa ngapi vile?

Love dady
 
Kama hataki watu wamjadili aache kujiweka hadharani kwenye mabulogi....it just comes with the territory...

Nyani i think it will be wise kama ukimjadili na kumpa kura yake lakini siyo ndiyo mnamjadili wee alafu hata kumpigia kura hakuna.
 
OK my daughter, play safely I will be happy to be a grandpa....huwa nina sahau sana unajua umri tena atakuwa mjukuu wa ngapi vile?

Love dady

Thank you daddy for lovely wishes,napata mapacha actual wa kiume.Kunywa viagra zitakufanya usiwe unasahau daddy ok.
 
Komredi ulikwa platinum member nini kule Utamu?

Mzee kule mimi nilikuwa member mkubwa kila siku asubuhi lazima cha kwanza ni ze utamu lakini walipo kuwa wanatishia baada ya minong'ono jamaa kudakwa eti na member nao watakiona nilitaka kukimbilia Somalia komredi.
 
Nyani i think it will be wise kama ukimjadili na kumpa kura yake lakini siyo ndiyo mnamjadili wee alafu hata kumpigia kura hakuna.

My vote is my secret and my vote is my right and I'm entitled to my own opinion as you are entitled to yours.
 
My vote is my secret and my vote is my right and I'm entitled to my own opinion as you are entitled to yours.

I know all that kuwa you are entitled to your own opinion na kupiga kura ni siri,and you didn't have to go there wewe ungesema tuu nimepiga (na hata kama hujapiga ni wewe wajua hilo ati) lakini the way you sonded daaah!.
Sorry i didn't mean any harm yaishe.
 
Thank you daddy for lovely wishes,napata mapacha actual wa kiume.Kunywa viagra zitakufanya usiwe unasahau daddy ok.

Ohhh no way viagra nitaweza muumiza mamayo na haya magonjwa ya moyo mmmh no thank you...instead nitakuwa nakula matikiti maji mengi....kila laheri be a good mother and a parent too!
 
Ohhh no way viagra nitaweza muumiza mamayo na haya magonjwa ya moyo mmmh no thank you...instead nitakuwa nakula matikiti maji mengi....kila laheri be a good mother and a parent too!

Ooh daddy you are so bad.
Anyhoo i sure will be a good parents to my twins.

haya have a good day.
 
what?kuvaa bikini ni kudhalilishwa?since when?.mbona sasa unaleta issue za miaka ya 47?hii ni karne ya 20 jamani hebu try to think about it.bado tuu mnataka watu waishi kama walivyoishi wazazi wetu common now.Hebu give her credits at least ana hustler kihalali na wala siyo kwa kujiuza au kula rushwa.

TK yupo juu kinoma alafu very down to earth,get to know her kabla hujam-judge.

Dada ina elekea wewe ndiyo unaishi in the past. Wenzio we are in the 21st century wewe upo karne ya 20? Welcome to the new century Sasha and be careful what you write laa sivyo utaonekana old timer kuliko hao unao waita old timers.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom