Mpigie kura Illuminata Wize Mrambo wa Tanzania Miss Universe 2009

Nilikuwa nimesahau kwamba Trump yuko pia kwenye mambo ya urembo kama partner wa Miss Universe.
Kwenye kitabu chake cha "Think like a champion" anasifia kweli viwanja vyake vya golf.
Tizama hapa, www.trump.com

Mambo ya ulimbwende yanalipa.


800px-Miss_Universe_Map.png

Nchi zilizowahi kushinda

Angalia ukubwa wa Venezuela (orange), walioshinda mara 5, halafu linganisha na ukubwa wa China au Urusi
 
Last edited:
Ni vema tukimuunga mkono huyu binti. Mimi nimeshapiga kura huko. Wana JF wote na wageni just click hiyo link nenda kule ufanye registration, ni faster theni piga kura yako. Ni furaha kwa yuko above the avarage points ila tumpandishe pale juu. Your vote will make a difference just kuonyesha uzalendo. Vote now!!!
 
Back
Top Bottom