Mpiga Picha Mweusi Azomewa Kwenye Mkutano wa Republicans!

Democrats ni watu wa ajabu sana. Yaani wako so hung up on race kiasi kwamba nadhani wao ndiyo racists wakubwa na wanachofanya ni ku project hizo biases zao kwa kuwatupia shutuma Republicans.

Sasa hebu ona huyu jinga wa yahoo. How can you even joke about something like that? Na mimi nimeshasema mara mia kidogo hapa kuwa huyo Obama akishindwa huu uchaguzi watu mtalia kuwa kashindwa kwa sababu ya ubaguzi.


Hands down you nailed .liberal are so weird they can't accept any criticism
Msnbc omitted all minority speech in republican convention ,who said they will put you back on chain .well I'm voting for Romney
 
The black CNN camerawoman who had nuts thrown at her at the Republican National Convention said she's "not surprised" by the incident.

"This is Florida, and I'm from the Deep South," Alabama native Patricia Carroll told journalist Richard Prince of the Maynard Institute. "You come to places like this, you can count the black people on your hand. They see us doing things they don't think I should do."

Carroll, 34, was doing her job inside the Tampa Bay Times Forum on Tuesday when two RNC attendees threw nuts at her and said: "This is how we feed animals." They were immediately removed from the forum and were later ejected from the convention, according to media reports.

Carroll said CNN has supported her throughout. And she told Prince that this "could happen to me at the Democratic convention or standing on the street corner. Racism is a global issue."
This should be a wake-up call, she said.

"People were living in euphoria for a while," she told Prince. "People think we've gone further than we have."



Get full coverage of the Republican National Convention here »
 
He must be watching msnbc Chris mathew

yawezekana

kuna pimbi hapo juu kasema go and learn american politics, nimempa jibu la level yake; hajui nilianza hili darasa mwaka juzi baada ya kuamua kujilipua...

wao wenyewe wanakubali kuwa siasa yao sasa imekua chafu, ukipata wasaa hat wa kuangalia channels zao, habari hiyohiyo inaweza kuwa traslated tofauti na cnn, msnbc, fox na mbaya zaidi ni zile local channels

anyway, some people wanajua sana ya wenzao kuliko ya kwao
 
How can it not be racist when they called her an animal? The true colors of the Republican party came out and showed us how women/ blacks/ hispanics & minorities are viewed.

ukiamua kwamba the animal ilirefer rangi kuliko monstrous cnn attitude towards republican, basi sawa lakini then condoleeza rice wouldnt be there

fook this blind inferiority complex in the name of colors...

and with this i bet you are scared of fellow black people in america than white, because you have blessed your racism and inferiority (and mediocre) complex
 
Waache wajiroge na kujimaliza wenyewe kwa ubaguzi wao..... hawajui nchi yao ina watu wengi wenye rangi zingine....
 
tunajiaweka wenyewe kwenye kikaango

sidhani kuwa alizomewa sababu ya rangi

sometimes hawa ndugu zetu hata akikamatwa kwa kosa la kweli, cha kwanza anakimbilia rangi............ you wont stop being regarded as inferior by continuously emphasizing that you are inferior

Ni vizuri kupata habari kamili hasa pale penye uwezekano wa kuipata. Alizomewa kwa sababu ya rangi yake. Bofya kwenye uzi sehemu ya kijani utapata jibu sahihi kwa maelezo ya CNN. OK?
 
ukiamua kwamba the animal ilirefer rangi kuliko monstrous cnn attitude towards republican, basi sawa lakini then condoleeza rice wouldnt be there

fook this blind inferiority complex in the name of colors...

and with this i bet you are scared of fellow black people in america than white, because you have blessed your racism and inferiority (and mediocre) complex

For your information Condoleeza Rice was taken as a shield to guard the Republicans against their racist attitude in order to win black people confidence. Having her as a secretary of states doesn't change the racist nature of white people in any way.
 
For your information Condoleeza Rice was taken as a shield to guard the Republicans against their racist attitude in order to win black people confidence. Having her as a secretary of states doesn't change the racist nature of white people in any way.
thank you for this info... any reference that i can trust?? or i should just assume that what you say is correct and final
 
thank you for this info... any reference that i can trust?? or i should just assume that what you say is correct and final

Research would be the best option. May be we should carry out research together and that would be great. Starting with USA, Germany, Ukraine, Russia, UK, Australia, South Africa and then later else where.
 
Research would be the best option. May be we should carry out research together and that would be great. Starting with USA, Germany, Ukraine, Russia, UK, Australia, South Africa and then later else where.
sasa kamanda mbona unaniangusha??

Umesema "for your information" ---halafu unaniambia then tufanye reseach??

uliongea kama una facts, kumbe ni hisia tu??

OK
 
Mfuasi wa Ron Paul mara kabla ya kutolewa kwenye Mkutano Mkuu wa Republicans jana.....

Republicans ni wabaguzi. Hawajali maslahi ya maskini, weusi au wenye rangi!
Hebu ona yaliyotokea kwenye mkutano wao wa kumteua mgombea Rais. Mpiga picha mweusi, mwanamke, karushiwa karanga na kuambiwa, "Hivyo ndivyo tunavyolisha wanyama!"

Juzi, Romney alisema kuwa hakuna aliyeuliza kuhusu cheti chake cha kuzaliwa. Hiyo ni statement ya kibaguzi! akimaanisha kwa kuwa yeye ni mzungu...
Kwa habari zaidi bofyalo hapa.....Republican Convention marred by racist act against CNN black camerawoman - National Political Buzz | Examiner.com

Mkuu ubaguzi wa rangi hauna chama, kuna democrats wengi tu racists. Just because the incident took place at RNC does not necesariry mean that GOP is racist. Kihistoria GOP is less racist that Dems....hata ukiangalia those who unchained niggers are GOP, and so far it is GOP who has more of them in high position than Dems.

Romney kusema hakuna anayeuliza cheti chake angesema hata kama Obama angekuwa mzungu.

Kimsingi mbaguzi wa rangi, bila kujali rangi yake hafai na hana akili. Iwe ni yule anayedharau rangi yake au anayedharau wengine.

Unatakiwa kujua kuwa Romney ni Mormon, na kuna rumors kuwa ana lengo la kutekeleza reptilian agenda, hiyo ni ya kutisha zaidi kuliko perceived racism.

Kuna weusi wengine ambao wanajiona wao ni kimba na wanatukuza wazungu bila hata kujali baadhi ya wanaowatukuza wanatumia ujinga huo kujisifu zaidi, wanaoana kuwa rangi yao ya ngozi ina nguvu ya kuweza kufanya bongo za wengine ziwe kama zimeganda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom