Mpiga Hesabu wa CCM Amefariki dunia?

gambatoto

Senior Member
May 25, 2011
175
28
CCM bwana, Mbona wanashindwa kutofautisha alama ya kuzidisha (X) na kujumlisha(+)?:

Angalia 2+3=? Jibu: CCM =6, CDM =5

Il kuishinda CDM, Mahesabu ya CCM ni:-
1. Nyang'anya hoja ya Ufisadi na iwe ya kwetu. Lo, imekuwa balaa, imekula kwao(Wrong calculation.
2. Paka kaburi rangi ili kuwadanya watu kwamba kilichomo ndani yake ni kisafi (Kuvua magamba). Wrong calculation.
3. Ua wafuasi wa CDM ili kuwaaminisha wananchi kwamba CDM ni chama cha Vurugu. Wrong calculation.
4. Hakuna kuwaruhusu kuwaaga kwa pamoja marehemu waliouawa na polisi. Tukiruhusu itakuwa kama Arusha, watu watajaa zaidi. Wrong calculation.
5. Tukiua, tutasema ni majambazi, na tutatoa ubani kwa ndugu wa marehemu kupunguza Hasira, unajua Arusha hatukufanya hivyo. Wrong calculation.
6. Wakitaka kuwaaga marehemu kwa pamoja (kwsbb wanataka umaarufu), tutanunua majeneza bila vipimo, tutaenda kuwaiba marehemu usiku. Wrong calculation.
7. Kamata viongozi wa CDM, weka ndani hata kama ni Wabunge. Wrong calculation.

Badala ya kujiletea umaarufu, wanatoa umaarufu kwa CDM.

CCM wanaingia kichwakichwa kule CDM wanakotaka. Baadaye wanatambua walikosea, wanakuja na njia nyingine ya kurekebisha ambayo inakuwa mbaya kuliko ya kwanza.

Ni nani mpiga hesabu wa CCM? Je, Mpiga mahesabu wa CCM amefariki dunia?
 
alizeeka akastaafu na Hesabu zenyewe alikuwa hazijui vizuri
Na aliyepewa kazi ya kukokotoa na yeye ni kilaza na degree ya English,saikolojia na uandishi wa habari
Duh jamaaa wapo pabaya
Halafu ukizingatia mwenyekiti wao alishawahi kukiri yeye mwenyewe hesabu zinamtoa nduki basi tabu tupu!
 
Mnamuongelea yule jamaa anayetoa ulinzi usioonekana.
Hah hah hah dira ya chama ni yule korong'ondo ambaye kila uchao anaanguka anguka hovyo.
 
CCM bwana, Mbona wanashindwa kutofautisha alama ya kuzidisha (X) na kujumlisha(+)?:

Angalia 2+3=? Jibu: CCM =6, CDM =5

Il kuishinda CDM, Mahesabu ya CCM ni:-
1. Nyang'anya hoja ya Ufisadi na iwe ya kwetu. Lo, imekuwa balaa, imekula kwao(Wrong calculation.
2. Paka kaburi rangi ili kuwadanya watu kwamba kilichomo ndani yake ni kisafi (Kuvua magamba). Wrong calculation.
3. Ua wafuasi wa CDM ili kuwaaminisha wananchi kwamba CDM ni chama cha Vurugu. Wrong calculation.
4. Hakuna kuwaruhusu kuwaaga kwa pamoja marehemu waliouawa na polisi. Tukiruhusu itakuwa kama Arusha, watu watajaa zaidi. Wrong calculation.
5. Tukiua, tutasema ni majambazi, na tutatoa ubani kwa ndugu wa marehemu kupunguza Hasira, unajua Arusha hatukufanya hivyo. Wrong calculation.
6. Wakitaka kuwaaga marehemu kwa pamoja (kwsbb wanataka umaarufu), tutanunua majeneza bila vipimo, tutaenda kuwaiba marehemu usiku. Wrong calculation.
7. Kamata viongozi wa CDM, weka ndani hata kama ni Wabunge. Wrong calculation.

Badala ya kujiletea umaarufu, wanatoa umaarufu kwa CDM.

CCM wanaingia kichwakichwa kule CDM wanakotaka. Baadaye wanatambua walikosea, wanakuja na njia nyingine ya kurekebisha ambayo inakuwa mbaya kuliko ya kwanza.

Ni nani mpiga hesabu wa CCM? Je, Mpiga mahesabu wa CCM amefariki dunia?

Heading yako nilidhani amekufa mtu anayetakiwa Afe ni huyu JK akifa ntashangilia sana
 
Kakin hayo mambo ya kifo cha binadamu mwachie Mungu. Siamini kwa kufa Mtu mmoja mambo yote yatakua sawa. Hoja ya namna CCM inavyofanya maamuzi ni ushahidi wa jinsi ilivyokosa uongozi.
 
CCM ISHAJIFIA, WANA HALI NGUMU KWELI. Nape wao siku hizi amekua mtu wa kutanga tanga tu, mara huku kule haeleweki!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom