Mpenzi wangu ndotoni hutaja jina la mvulana ambaye ni jirani yetu.

Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu.

Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize amsindikize kwa shangazi yake.

Kila ninapomuliza ananiambia namsingizia.Mi nataka kupiga chini taratibu,kwani uaminifu ni 'F'

ni rahisi sana na wewe ota halafu unamwita dada ambaye ni jirani yenu au beki tatu kabisa halafu uone itakuwaje..
 
Palipokua na msiba ukisikia vilio vimeongezeka, jua muda wa Jeneza kutoka kuelekea makaburini ndiyo umeshawadia!.
 
Yaani kila siku hulali muda wote unasikilizia anaotaje?Usijali inawezekana jamaa bado hajajeruhi ila mpenzio ndio amemuweka sana akilini huyo dogo.
 
Ngoja mpaka siku utakapo sikia ananung'unika kimahaba alafu analitaja jina la mchizi ndio akili itakukaa sawa
 
Hakunaga kuweweseka kwa bahati mbaya, unaye mwaza sana ndo unae mwota!
Stuka Meku.
Kabisa aisee..hakunaga bahati mbaya kwenye hizo mambo..#Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa...pengine hana mahusiano nae ila anatamani awe nae kiasi kwamba anatumia muda mwingi kumuwaza..mpaka yanatokea mambo yakumuota. Mbaya sana umelala na mwenza ndani lakini fikra zipo kwa mtu mwingine....Pole bro!!
 
Huko kunaita KUKOPA...Sasa huyu mdau asubiri kulipa deni!!
 
Mpenzi wangu,ni mara nyingi tu hutokea ndotoni anamtaja kijana ambaye ni jirani yetu.

Akiwa kama anaweweseka hutaja jina kwa sauti na hata siku moja ndotoni alimwomba ampe kampani amsindikize amsindikize kwa shangazi yake.

Kila ninapomuliza ananiambia namsingizia.Mi nataka kupiga chini taratibu,kwani uaminifu ni 'F'

duh!! Hyo kali...
 
Dogo mbona unaishi kwa mashaka hivyo na huyo mpenzi wako,mara useme amekusevu kama Khalima,then umekuja na hili..duh!..then kama hizi sio hadithi basi sijui unataka usaidiwe nini na jf?...Stuka!
mmmh ndio huyu huyu kumbe aisee jaman huruma bure pole kaka chukua ha2a tena fasta. hakufai huyooo.
 
Dogo mbona unaishi kwa mashaka hivyo na huyo mpenzi wako,mara useme amekusevu kama Khalima,then umekuja na hili..duh!..then kama hizi sio hadithi basi sijui unataka usaidiwe nini na jf?...Stuka!
watu wako makini..hivi kumbe ni huyu huyu alisema ameseviwa khalima,mara mademu wa mtwaraa na lindi sio mchezo,maraa mpenzi wake anamtaja jirani yeke wa kiume ndotoni...huyu itakuwa muongo najaza post.kama kweliii kimbiaa faster kijana kabla kibanda hakijaa kudondokeaaa...
 
Bora ya huyo, unaweza kukutana na mwingine anakutajia jina la kijeba wakati kuvunja amri ya sita.
 
Hebu tuliza hasira. Inawezekana huyo mpenzi wako kuna kitu kinamvutia kwa huyo jirani na kimemkaa akilini ndio maana anamuota. Hiii inaweza kutokea hata kama hawana mahusiano ya karibu. Jaribu kuchunguza kama kuna chochote kati yao kabla hujafanya uamuzi. Mie mwenyewe mara nyingi namuota obama kwa sauti, wakati sijawahi hata kumuona live!
 
Kabisa aisee..hakunaga bahati mbaya kwenye hizo mambo..#Kimtokacho mtu ndicho kilichomjaa...pengine hana mahusiano nae ila anatamani awe nae kiasi kwamba anatumia muda mwingi kumuwaza..mpaka yanatokea mambo yakumuota. Mbaya sana umelala na mwenza ndani lakini fikra zipo kwa mtu mwingine....Pole bro!!

Ahsante.
 
Back
Top Bottom