Mpenzi wangu hapati raha ya mapenzi kabisa, naombeni msaada wa contact za geno au wataalam wa matati

mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at allmwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewekwanza ungejua unavomkera during process ? yaani mwanamke kulala na mtu humpendi ni mateso acha kabisa
nakuunga miguu na mikono inakera mnooooooooo tena sana nina uhakika kama angekua anakupenda sana kama unavompenda ww hata kabla hujaanza kusex naye angekua ameshasisimka vya kutosha karibia na kupi.........,
so acha kumkera mwenzio kwakweli
 
ɐsıqɐʞ ɐɥɔɐ osǝʇɐɯ ıu ıpuǝdɯnɥ nʇɯ ɐu ɐ|ɐ|nʞ ǝʞɯɐuɐʍɯ ıuɐɐʎ ¿ ssǝɔoɹd buıɹnp ɐɹǝʞɯoʌɐun ɐnظǝbun ɐzuɐʍʞǝʍǝʍ opu ǝɯnsɐɐ ǝʞɐʍ ʇɹɐǝɥʇıʍs ɐʎ ɐɥɔıd ɐʇnʌɐuɐ ǝʍɐ ǝıqɯɐʍɯ||ɐ ʇɐ ɯsɐbɹo ou |ǝǝɟɯnʞ/ıpuǝdɯɐɥ ǝɐqɯɐ nʇɯ ɐu xǝsıʞɐ ǝʞɯɐuɐʍɯ
 
mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at allmwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewekwanza ungejua unavomkera during process ? yaani mwanamke kulala na mtu humpendi ni mateso acha kabisa

smile kaka wa watu akipata heartattack! Shaurilo
 
Baadi ya wanaume twapenda kujisifu ujuzi wa mambo kwenye keyboard but wanaojua ukweli ni wake au wapenzi wetu.

Kuna kitu inaitwa frigidity, kama mwanamke ni frigid for whatever reason hata umwandae wiki bado hatafurahia tendo.

Kwamba anakwambia hafurahii tendo means anakupenda na yuko tayari kusaidiana nawe kupata msaada.
Chukua ushauri utakaojenga uhusiano wenu, pumba weka kando!
 
Pata Asali jipake wewe kwenye huo Uume wako bila ya yeye kujuwa kisha Muingilie kwa taratibu atapata raha sana kiasi hato kuacha wewe lakini fanya hii Dawa kwa siri usije ukamwambia. Fanya hii dawa kila unapokutana nae kwenye mapenzi yenu tumia hii Dawa kisha unipe Feedback chanzo : P.h.D. MziziKavu
 
nakuunga miguu na mikono inakera mnooooooooo tena sana nina uhakika kama angekua anakupenda sana kama unavompenda ww hata kabla hujaanza kusex naye angekua ameshasisimka vya kutosha karibia na kupi.........,so acha kumkera mwenzio kwakweli
heri aminata umesaidia kumwambia ukweeee............................. naona mimi hawaniamini ila ukweli ndo huo
 
Huyu dada anahitaji counseling. Inawezekana alishawahi kubakwa, ama kuwa abused na mwanaume yeyote kwenye maisha yake either physically ama emotionally. Kama hakupendi muda wote huo angeshakukimbia,ukizingatia siku hizi mwanaume anakutongoza akiona kisigino tu cha mguu. Hahitaji sauti wala sura! Ni pm kama unahitaji contact ya mshauri nijue specific need yenu niwaelekeze. Pole sana.
 
Samahani dr, hii haiwezi kuwa chanzo cha mdada kupata infections? Jamaa ataongezeka utamu?lol
Seriously,kama unamtania tafadhali sema. Kama ni kweli natamani kuelewa chemistry yake hapo. Natanguliza shukrani mzee wa solutions
Pata Asali jipake wewe kwenye huo Uume wako bila ya yeye kujuwa kisha Muingilie kwa taratibu atapata raha sana kiasi hato kuacha wewe lakini fanya hii Dawa kwa siri usije ukamwambia. Fanya hii dawa kila unapokutana nae kwenye mapenzi yenu tumia hii Dawa kisha unipe Feedback chanzo : P.h.D. MziziKavu
 
Huwa anaogopa huyo. Mwambie ajitahidi wakati wa ku do akili na hisia zake azihamishie hapo.
 
Samahani dr, hii haiwezi kuwa chanzo cha mdada kupata infections? Jamaa ataongezeka utamu?lol
Seriously,kama unamtania tafadhali sema. Kama ni kweli natamani kuelewa chemistry yake hapo. Natanguliza shukrani mzee wa solutions
asali itawafanya wote wawili wajisikie Raha mfanyaji na anaye fanywa hakuna madhara yoyote yale mimi huwa namfanyia mpenzi wangu huwa anajisikia raha kweli na mimi pia huwa nasikia raha haswa kwa watu weupe miili yao huwa ni baridi ukimuekea hiyo asali kwenye utupu wako akiwa male au female wote wawili mtajisikia raha tupu natanguliza salaam bibie hujambo?
 
mie sijambo baba,bukheri! asante kwa salamu. sasa hapo kwa bold, sie weusi ndo wa moto kama jiko la makaa ya mawe, ukiweka asali tena si inaweza kuhitajika fire extinguhser? mweeh!
asali itawafanya wote wawili wajisikie Raha mfanyaji na anaye fanywa hakuna madhara yoyote yale mimi huwa namfanyia mpenzi wangu huwa anajisikia raha kweli na mimi pia huwa nasikia raha haswa kwa watu weupe miili yao huwa ni baridi ukimuekea hiyo asali kwenye utupu wako akiwa male au female wote wawili mtajisikia raha tupu natanguliza salaam bibie hujambo?
 
mie sijambo baba,bukheri! asante kwa salamu. sasa hapo kwa bold, sie weusi ndo wa moto kama jiko la makaa ya mawe, ukiweka asali tena si inaweza kuhitajika fire extinguhser? mweeh![/QUOTEPamoja na hivyo Asali inasaidia kukufanya wewe Mfanyaaji na anaye fanywa kujisikia Raha ya tendo la Ndoa haidhuru chochote kile ondosha wasiwasi bibie nime ku miss sana.
 
hehehe,sumu haitestiwi kwa kuonjwa banaa. mi raha zangu zantosha yakhee! sasa kama umenimisi jamani si uniambie nikutumie namba yangu ya m-pesa? nakutumia ya mhasibu wangu husninyo uweke walau laki 5 za wikiendi,lol
Pamoja na hivyo Asali inasaidia kukufanya wewe Mfanyaaji na anaye fanywa kujisikia Raha ya tendo la Ndoa haidhuru chochote kile ondosha wasiwasi bibie nime ku miss sana.
 
hehehe,sumu haitestiwi kwa kuonjwa banaa. mi raha zangu zantosha yakhee! sasa kama umenimisi jamani si uniambie nikutumie namba yangu ya m-pesa? nakutumia ya mhasibu wangu husninyo uweke walau laki 5 za wikiendi,lol
unanifurahisha sana karibu kwangu kwa wekeend kuna kila kitu unachokitaka unakaribishwa mimi week end nipo peke yangu sina mtu karibu njoo nakusubiri.
 
Kaka hapo ni mawili either Smile is right or yourself have kind of problem ambayo haujagundua. Sisi wanume tunatatizo la pre-ejaculation though haujaeleza kwa undani how you carry out your assignment ila kwa mtazamo wangu hapo unatatizo la kufika kileleni mapema kiasi binti hapati vile vitu roho inapenda. Kama kwa upande huu uko fit, then go to first answer kwa smile ebu try to evaluate your relationship, maana mtu kukuambia kwa mdomo tu nakupenda si hoja, vitendo pia speak louder than words. For two years gawanya kwa quarter 4, kuanzia ile ya mwanzo lini alikuambia umemfikisha na lini alianza kukuambia haridhiki, then bottom line you need to sit down and discuss if you really want to get on board uendane na mawazo ya wachangiaji wengine kujuwa nini hasa demu anataka maana mademu wengine waoga kusema ukweli kutokana na maadili yetu na kuogopa kuitwa yale majina yetu yale a.k.a malaya. Ukishindwa nendeni kwa daktari uwenda psychological problems zipo associated na hali hiyo ya demu wako ya kuchelewa sana though wanawake wengi ndivyo walivyo au tatizo ni lako.
 
Kama hana matatizo ya kimwili basi rudi kwenye afya Mind yake.Inawezekana sababu kubwa ni wewe check hii list ya sababu zinazopelekea hali hiyo.JE
1.unanuka mdomo
2.unatoa harufu mwilini au majasho mengi wakati wa tendo
3.Unamparamia ovyo ovyo (yaani hujui mapenzi)
4.Aliingia kwenye mahusiano kwa kulazimika yaan labda Shida,shinikizo kutoka mtu mwingine mfan wazazi na n.k
5.Wewe sio chaguo lake coz kuna baadhi ya wasichana wanakuaga na ndoto za kuwa na aina fulan ya mvulana,au ana mtu mwingine ndo anaanza visa.
6.Au li uume kubwa sana au una ka pipi
7.Au ni Tom boy yaani ni msichana mwenye hisia nyingi za kiume na kuwa na upungufu wa za kike au wanaita jike dume.
8.We una unene wa ajabu au umbo baya yaani humvutii hata kidogo
Ushauri:MAPENZI YANALADHA IWAPO UNAFANYA NA MTU WA CHAGUO LAKO au Mwenye hadhi inayoshabiana katika mambo ya Age,tabia,edu,na hata dini na mengineyo kibao.
 
mwanamke akisex na mtu ambae hampendi/kumfeel no orgasm at allmwambie awe anavuta picha ya switheart wake aasume ndo wewekwanza ungejua unavomkera during process ? yaani mwanamke kulala na mtu humpendi ni mateso acha kabisa

Smile umeshatiwa na wanaume wangapi ambao hukuwapenda? Je kwanini uliwapa? Au ulikuwa uko kimaslahi zaidi?
 
Back
Top Bottom