Mpenzi wangu ananibania sana!

Aache utoto au anameno huko chini anaogopa akikupa sana ataloose control na kuufumba akung'ate maana mi najua habari za madem wa kitanga huwa wanafungwa na ma ex-boyfriend zao ila kama umemtoa bikra mwenyewe achana na hili wazo langu na mpe methali hii ."UKIAMUA KUOLEWA USILALE NA CHUPI"tehe tehe tehe Wahenga bwanaa....

bikira bongo..
 
Wadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!
hapo kwenye red ka ndo hvo unadhani atatka tena
 
Hivi hii nayo ni sababu ya kukufanya ufikirie kumuacha mwenzio? Kwani hiyo ni halali yako? Loh.......wadada kazi ipo, yaani kamtu kamehurumiwa kakapewa sasa ndo kanajifanya eti hakaridhiki hadi kanaanza kuwaza kumpiga chini, kwa nini hukuliwaza hilo kabla hujapewa? Unajua maana ya mapenzi kweli wewe au unajua njunji tu? Ur not serious!
 
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!

mkuu raha ya mapenzi ufanye na umpendaye/akupendae - hakuna kubaniana hapo, huyo anajionea kero tu ila afanyeje na we ndo unaemuweka hapa mjini na field umemtaftia. UNAJUA STAILI YA 'MALIZA NILALE' ndo huyo dem wako.
 
ETI ANA TABIA NZURI WE UNABALAA KWELI ANGEKUWA NA TABIA NZURI ANGEDANGANYA WAZAZI NA KULALA KWAKO. Hata ukimuoa atakuwa muongo na mgawaji.
 
ETI ANA TABIA NZURI WE UNABALAA KWELI ANGEKUWA NA TABIA NZURI ANGEDANGANYA WAZAZI NA KULALA KWAKO. Hata ukimuoa atakuwa muongo na mgawaji.

wajinga ndio waliwao. Wenzake wa ofisini kwake mbona wanamwita maharage ya Mbeya?
 
usione soo sema nae mpwa usije kuwa unatengenezea future nzuri wengine ukaja kula kwa macho,take care mkuu kwa wiki mara 1 too much tena unaishi nae mmmmh ngumu sana mnalala mzungu wa nne kila siku?du pole mkuu kama nakuona unavyosikitika ukiwa kitandani unakula kwa macho
 
Mwanamke hakomolewi, hapa ndo unafanya kosa. Subiri amalize chuo upigwe chini.

Wadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!
 
Hapa kuna tatizo,
1. Atakuwa anakupa tu kwakuwa una mfadhili, ila hana mapenzi na wewe. Shida zinamfanya akupe.
2. Utendaji wako ni mbovu kiasi kwamba anaona bora akae na ugwadu wake. Maana unatibua maruhani na unashindwa kuyapooza.
3. Hakuamini kama utamuoa. Anahisi lengo lako ni kumchezea.
4. Atakuwa hana akili nzuri.
Jaribu kuzungumza nae umsikilize.
VUNJA UKIMYA, SEMA NAYE!!!
Hivi na wewe unajiita great thinker kwa kuongea huo upupu?
Mwenzenu hana akili, na nyie badala ya kumsaidia mnazidi kumjaza ujinga kwa tamaa zenu za ngono zinazowafanya muwe vipofu wa kufikiri. Huyo binti yuko smart kuliko huyo jamaa. Nenda kajitambulishe kwao kwanza na kutoa mahali then umuweke ndani uone kama atabana. Ukimwacha wenzio watambeba fastz, wanaume wenye akili timamu wako wengi siyo kama wewe.
 
Mwanamke hakomolewi, hapa ndo unafanya kosa. Subiri amalize chuo upigwe chini.

yupo field akimaliza unategemea nini au akipata sehemu ya kibarua huna chako kwani hata kukaa kwako ni kwa ajili ya shida na wewe umetumia udhaifu wa shida zake ili uweze kula tunda
 
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!

kumbe hata kabao kamoja unapata.......................lol..................ulitakiwa usipate kabisa hadi siku ya harusi
 
Nafarijika kwa Ushauri nilioupata nimeufanyia nimesema nae jana kwa undani sana akanielewa matunda nimeyaona usiku wa leo wadau kweli kukaa kimya kusingenisaidia walau tatu bila nimefarijika najipanga tu niibuke kwao maana nisijechelewa asanteni sana
 
Amekeketwa uyo kwa iyo hasikii rahaa yoyote! ila mshikaji unapenda kwa sadala! (kwa sadala ni mteremko wa kutoka arusha kuja moshi) usipende kwa sadala sana kijana, au unanuka kikwapa, au mudomo au kijasho hivyo anaona kero! jipige manyunyu kijana vilevile nae umjali c kupenda kula papuchi tu bila kumjali kisa analala kwako! ila nae uyo binti kupenda kwa sadala kumemponzo mpaka analiwa papuchi na asiyempenda! jichunguze then utupe jibu. vile vile inawezekana unaishi kwenye kachumba kamoja a.k.a geto tena kachafu ndo kanampelekea asiwe na mudi ya kuliwa papuchi! au ukipewa unaisimamia kama unaendesha guta? chukua hatua
 
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!
matope inabidi tukueleze ukweli wanaume wenzako,kiwango chako cha ufanyaji kiko chini au unamaliza haraka kwa hiyo shemeji yetu hahamasiki kuwa nawe kimapenzi nakuhakikishia hata hiyo mara 1 kwa wiki ni kwakuwa yuko kwako afanyeje,Usipo imarisha kiwango chako nakuhakikishia hamna ndoa hapo na utapigwa chini hivi punde.
 
Wadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!
hapo utumwani sema tu hutambui kifikra unaumia sana na hata shughuli zako haziendi sawa.... mpe chumba chake na usilale naye kitandani siku akiitaji aje chumbani mwako........ always ukiwa mploe kwa mwanamke lazima akuteese saaaaaaana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom