Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

kama unalo pingamizi nenda kaweke katika mamlaka zinazohusika. kama huna, achana naye na uanze maisha mapya. ikibidi mchangie na uhudhurie harusi kabisa.
 
like any other sorrow in life,it will fade with time.kubali matokeo and move on.make sure he wont manipulate u to involve urself emotionally wit him again si unajua tunavyopenda vitu vya bure ukaishia kuumia tena na tena...goodluck
 
kata mawasiliano nae,ukiendelea kuwasiliana nae atakufanya nyumba ndogo na sidhani kama unataka hilo,kaa nae mbali,anampenda anaemuoa bali wewe ni kipoozeo,so akiwa anagombana na mkewe atakua anakuja kwako kupoza maumivu kama alivofanya mwanzo.
 
pole mamii najua jinsi inavyouma ila jua mungu yupo pamoja nawe utampata aliye wako.
 
pick up your self and move on, sio wewe wa kwanza,wengi tu wamepitia hiyo mambo, jitahidi kuwa mbali nae,
 
ujue km vile vile unavompenda na yeye anampende huyo waneonana yake hivo na zaidi pia, so kubali yaishe
 
Huyo tangu mwanzo anakuhitaji alitaka kupita tu, ndio akatoka na single ya wamechana. alipokupata kakwambia wamepatana, watu bwana wakitaka kuonja mahala wanafanya lolote, cha muhimu wewe endelea na maisha yako tu, coz kama anaoa ndio mtolee,na ukizubaa mwenzako ataoa halafu atakufanya pia nyumba ndogo....angalia mbele rafiki
 
pole huna haja ya kuchanganyikiwa alikuwa hana mpango na wewe achana nae anza maisha mapya
 
kuna mtu ameniuliza nimtaje huyo mpenzi wangu anayeoa june,can we communicate?
 
WEE MSICHANA UNA UMRI GANI MBONA UNAONYESHA KAMA KIKOJOZI BADO...vipi unamfata mwanaume hakupendi jithamini kidogo :biggrin:
 
asee poleni waathirika wote, ndio mapenzi ya kisasa yalivyo..toa mchango wa harusi kiroho safi..tafuta wako nawe uolewe, mara nyingi watu huoa au kuolewa na waliozoeana nao..anaweza kuwa na wewe kwa muda, ila inapofika kipindi cha kuoa..anatafuta yule walie zoeana nae..
 
dada yngu najua mapenzi yana run dunia lakini maisha yapo siku zote na yatazidi kuweppo...geuza ukurasa wa mind yako na usome ukurasa mwingine wa maisha...acha yaliyopita na ugange yajayo...

katika dunia ya leo kuolewa/kuoa si suruhisho pekee la maisha but it's just a way through, although it has an altenative way to reach the desired goal.
 
acha ujinga wewe mwanamke, endelea kukonda halafu ukifa umuache akifurahia ndoa yake, wewe vipi bana, wanaume tuko kila pande za nchi kuanzia Mpanda mpaka Nangurukuru
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?
 
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?

Pole sana mrembo, ule mkakati wako wa kwenda chuo endelea nao kwanza. Hayo mambo mengine yatajipanga mbele kwa mbele!
 
Back
Top Bottom