mpenzi wangu ana moyo chuma.

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,720
19,860
Mpz wangu nimekuwa nae muda mrefu ila anatatizo la kutonionea wivu hata anikute mazingira hatarishi hii hali hainifurahishi kabisa hadi inafikia muda mwingine natunga skendo yoyote nione reaction yake ila mwenzangu haoneshi na kutishwa wala nini.JE NITAFSIRIENI HUYU MTU Atakuwa wa namna gani?
 
Mtu huo atakuwa ana demu nje anataman kukuacha lakini naic bado anakupenda.
 
na wewe unatafuta kujiumiza roho bure tazama yale yanayokufurahisha mengine achana nayo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mpz wangu nimekuwa nae muda mrefu ila anatatizo la kutonionea wivu hata anikute mazingira hatarishi hii hali hainifurahishi kabisa hadi inafikia muda mwingine natunga skendo yoyote nione reaction yake ila mwenzangu haoneshi na kutishwa wala nini.JE NITAFSIRIENI HUYU MTU Atakuwa wa namna gani?

...anakuamini kuliko unavyojiamini. If it aint broke dont fix it,

RELAX!
 
Kama kitu huwezi kubadili kwa nini kikuumize,mfano nimekukuta na mdada sa nimeshakukuta cwezi badili fact kwamba nimekukuta kwa hyo naendelea na mambo yangu,ila ujue siku ya siku ataondoka zake akiamua,
 
Angalia usiibue matatizo ambayo hayakuwepo, kobe akiinama jua anatunga sheria, yanawezekana anakaa kimya ila moyoni anaumia sana siokila mtu anaweza kuonyesha hadharani kuwa makini tafadhali.
 
Kuna mawili: ama anakupenda sana kiasi kuwa haamini kuwa wewe ni wake kweli kwa hiyo anaogopa kukuudhi usije ukamuacha;pili anaweza kuwa na wa pembeni.
 
Huyo ni wa aina yake. Mpende sana. Hakikisha unakuwa na yeye tu. Usimcheat tena
 
Maelezo yako mafupi sana kuweza kujua nini kinaendelea,ili niweze kukomenti,
 
Back
Top Bottom