Mpenzi wangu amenipiga mkwara wa kuangalia au kushika simu yake

Tukubali tukatae wanaopenda usiri wa simu zao kwa asilimia kubwa ni cheaters. Hii ni duniani kote hata wataalamu wa mahusiano wanakwambia kama unahisi mwenzi wako ni cheater the best way of getting clue ni kupekua simu na e mail kama unaweza pata access. Tusisingizie utani ofisini wala nini. Utani ni utani na kucheat ni kucheat period. Kama wote ni cheaters wawili hamna shida ficha yako nifiche yangu maisha yanasonga kama open relationship vile!

Na je kwa wale wenye mawasiliano ya kazini ambayo ni SIRI?

well said nyumba kubwa!! kwa nini usiwe free kwa mwenza wako kuaccess simu yako?? kukiwa na ufree...........trust me hakuwezi kuwa na migogoro ya kimawasiliano, pia hawezi kuipekuwa mara kwa mara!!
kumzuia asiipekuwe simu ni kumtangenezea stress mwenza wako!!

by the way........huyo mdada anaelekea ana mawasiliano ambayo anayathamini na hataki uyajue(coz anajua kuwa ni risk)!!

niaminivyo mimi simu ni personal property.mke/mme/rafiki ni marufuku kugusa simu isiyo yake

ni kweli ni personal property but imeshasababisha ndoa nying kuvunjika sababu inarahisisha infidelity,na ukumbuke wengi ya walio ktk mahusiano ya sas simu ndio iliyokuwa inawasaidia kupanga mambo yao hata kama wako mbali

Hebu fikiria mpenzi wako karudi nyumbani ukachukua simu yake na unakuta msg imeandikwa yaani umenikimbia unamuwahi yuyo nguchiro nyumbani kumbe ni limtu halikuwa makini likakosea namba hapo utafanyeje utaamini kuwa imekosewa au changa la macho ili kuepusha presha zisizokuwa za lazima ni bora kuipotezea simu yake!!!

Kwani lazima ushike simu yke... jiulize anaishika ya kwako au kaka hujiamin enh... Acha kufatilia uone kama atakukatalia ila kwa sasa lazima akatae maana unaonyesha ww n pekupeku!

Siri gani??? Ndiyo yale ya watu ku pretend wana usalama wa taifa kumbe wizi mtupu! Ni wangapi Tz wana kazi za siri. Na kama ni siri kweli inakuwaje unatumia simu wakati simu hazina siri unaweza kuwa wired?
Na je kwa wale wenye mawasiliano ya kazini ambayo ni SIRI?

Siri gani??? Ndiyo yale ya watu ku pretend wana usalama wa taifa kumbe wizi mtupu! Ni wangapi Tz wana kazi za siri. Na kama ni siri kweli inakuwaje unatumia simu wakati simu hazina siri unaweza kuwa wired?

Hii ni kweli,hakuna cha siri,hata kama kuna hizo ishu za kazini haziwezi kufichwa hivyo,ther is something there!

Kwenye cmu yake ww unatafuta nn! Wanawake wa zamani hata usahau hela kwenye shati au suruali wkt anafua anaifulia humo humo hata kama ni kondou ilibaki moja hapekui vidada vya siku hizi ndo maana ndoa zinawashinda.

Jamani wadau hii imekaaje katika mahusiano?Eti ukiwa na mpenzi wako(she) halafu kwa hali isiyo ya kawaida ikatokea maporomoko ya hapa na pale ,then yeye akaanza kukupiga mkwara usiiguse simu yake na akiwa home muda wote ameishikilia mkononi(yaani akiwa anapika,akiwa sebuleni ,mkiwa chumbani muda wa kulala na hata akienda chooni), halafu kingine mkiwa naye kwenye gari labda yenu ya private ikitokea ameiweka mahali basi itafunikwa na leso au hata kuweka pochi juu yake,Je kwa hili ni hatua gani bora za kufuata au kuchukua?????

sasa hata hapo unahitaji ushauri?

Kama unaweza kukumbuka hata akipigiwa na baadhi ya watu anaenda kuongelea mbali, unabisha?

Guys Nakwambia Macho yamefunguka na nimeona ,hapa ni darasa tosha kwanini nijiue kwa wasiwasi wakati ukweli ndo huu mmenipa

Pole sana my dear one, ila i dont encourage you to be a slave of your lovers phone, leave the phone alone and talk to her direct and explore more from her and make your own conclusion.

Back
Top Bottom