Mpenzi wangu amenigandisha kituo cha BASI(STENDI)

Ukikutana nae kwa utasho wako kula tigo tu huyo ufanye mazoezi
 
pheeew nilikuwaga na karoho kama kako ka kuwa bembeleza hawa watu, lakini hawana roho ya huruma hata kidogo..we fikiria katika hali ya kawaida kumuacha mwenzako afunge safari toka mkoani, afike mjini anakupigia simu then hutokei..sio unyama huu..kama ana akili si angekuambia tokea mapema kuwa usije mjini maana hana mpango na wewe?? ndo maana siku hizi nimecha kuwa na roho nyepesi na hawa viumbe..ukiwachekea watakufilisi mzee..just imagine mihela yote uliyopoteza kwa nauli na kulipia hoteli..bora ungepiga gambe huko mkoani na beibe mkali tu..hasara hii..
 
Yamenikuta wana MMU jana nilikua na ahadi na mpenzi wangu baada ya kunimiss mwaka mmoja na nusu,tokea mwaka 2010 Disemba,,jana tulitaka kupasua raha..daah..!
Nimefika Dar ninamwezi sasa,mimi nafanya kaz MKOANI..na Demu wangu anafanya kazi Dar Hotelin(posta-mafuta house)alikua zanzibar mwaka jana.mwaka huu kahamia Dar..nilipofika nilikua nimeenda mikoa ya kusin..nilikua Bize kidogo..juzi akaniambia jumapili atakua free..tuonane,kuanzia asubuhi saa moja..nikamwambia poa..tukatana ZAKHEM mbagara kuna eneo liko poa sana(MINAZI INN),akasema poa.
Asubuhi nimetoka Sinza nikaenda Mbagara..nilipofika..nikapiga simu yake haipatikan..kuanzia saa moja mpaka saa kumi na mbili..nikatuma msg..ili simu ikiwa Hewan inionyeshe..saa moja ndo ikanionyesha msg ikawa delivad..mara akawa ananipigia..nikapokea(maongezi)
*mimi-vp ongea?
#Demu-mambo,samahan mwenzio nimepata matatizo
*mimi-matatizo gani?
#Demu-nilikamatwa na polisi..nikaweka ndani
*mimi-Polisi,polisi,Polisi..sababu,na kituo gan..na kosa lako.
#Demu-kituo ubungo,sababu,,keshia mwenzangu katoroka na Hela..ndo nikawekwa ndani.
*mimi-Huko wapi sasa hivi,nitakupigia nikifika nyumban(nilikua k/koo..naenda sinza saa mbili usiku)
#Demu-nipo mbagara kizuia,nipo na mama ndo kaniwekea Dhamana..naenda nyumban Mbagara kingugi
*mimi-nimefika home saa 4..usiku..nikampigia demu mara 5,hapokei,,mara ya sita kapokea bint mwingine..akaniambia mwenyewe amelala,nikamjibu kwa Hasira nikamwambia KOMAA!!!!mwambie mwenye simu asipopokea simu hii,iwe mwanzo na mwisho kunipigia simu,akakata simu,nikapiga tena Akapokea demu wangu mwenyewe,nikamuuliza kwa nini..ujapokea simu..akaomba samahani..nikamwambia niambie ukweli..ulikua unatumika wapi(kugogwa)niambie kituo gani ulikua ubungo..(urafiki Au UBT)..akasema Urafiki..nikamuuliza kwanini Ubungo isiwe Centre au ostabey,akakwama..nikamuuliza mama yako nani alimwambia,akadai niliwapa namba polisi,unajua kua jumapili ukiwekwa ndani kutoka mpaka juma tatu(leo)..akabaki kimya..nikamwambia niambie ukweli..nikamwambia kesho naenda Urafiki kuuliza..na kuna mshikaji wangu nitamuuliza anafanya kazi hapo..ila wewe umjui..akabaki kimya..nikakata simu..nikampigia simu mshikaji..mshikaji akaniambia hakuna jambo kama hilo..mara demu akanibip..nikampigia..akaniambia oooh samahan sikukamatwa na POLISI..naomba leo nikotoka kazin nije nikuone (Saa nane mchana)tuongee vizuri..niliogopa kukuambia.
=Wanajavi mnisaidie..hainiumi kugogwa na watu wengine..inaniumiza kutonipa Taarifa..Nikaa sana kituoni..mpaka saa sita mchana..nikaamua kuendelea na mambo mengine
"Vox Populi,Vox dei"

haikuumi yeye kugongwa na dem mwingine?????weeeee
 
pheeew nilikuwaga na karoho kama kako ka kuwa bembeleza hawa watu, lakini hawana roho ya huruma hata kidogo..we fikiria katika hali ya kawaida kumuacha mwenzako afunge safari toka mkoani, afike mjini anakupigia simu then hutokei..sio unyama huu..kama ana akili si angekuambia tokea mapema kuwa usije mjini maana hana mpango na wewe?? ndo maana siku hizi nimecha kuwa na roho nyepesi na hawa viumbe..ukiwachekea watakufilisi mzee..just imagine mihela yote uliyopoteza kwa nauli na kulipia hoteli..bora ungepiga gambe huko mkoani na beibe mkali tu..hasara hii..

we r on the same meli mdau,,,,and the same clases,,,,,sitakaa kuingia na miguu yote kwa hawa viumbe
 
pole bro. mi mwenyemwe nilishakutana na issue kama ii but mimi nilimfata demu mkoani alipokuwa ana fanya kazi kufika akajificha ata kwakwe akunionesha, ni kalala guest keshoyake morning nikageuza na sim no yake ni kafuta.

nyc idea,,,yaan wala huzungumz nae saana wewe unakausha tu.....
 
Poua wadau,alikuja ile jion..kwa hasira sikumuuliza kitu...nikamuangushia mvua ya magor(nane)asubuhi nikasepa
 
Back
Top Bottom