Mpenzi wako wamwitaje!!!!!!!!!!

Wa home namwita mama t.
Wa kuzugia namwita kwa jina lake... japo kwa simu nimemsevu kwa jina la TIGO kama mzugo vile akituma sms ama akipiga,wife hasomi anajua watu wa tigo wametuma sms au wanapiga.
 
Back
Top Bottom