Mpenzi wako bado anahifadhi Picha ya Mpenzi Wake wa Zamani

Status
Not open for further replies.
Anaweza kuteketeza hizo picha and whatever na bado wakaendelea kisiri siri, ni moyo wa mtu tu mwenyewe unavyomtuma.
 
Kwa sababu anahitaji uhuru zaidi wakati wa kuchangia mabandiko yako,Iam afraid,nothing personal.

Kwahiyo akifahamu jinsia yangu ndio atakuwa huru kuchangia,kivipi?nidadavulie tafadhali ingawa wewe sio msemaji wake au amekutuma?kwani jinsia zinauhusiano gani na uchangiaji wa sredi husika?
 
I love wana JF!

Yaani michango yote mliyotoa hapa mko shihi nami nimejifunza sana; naomba niseme kitu kimoja; huyu rafiki yako hana sababu ya kuumia ikiwa hajaliweka hili suala wazi kwa Mr. Asiumie on assumptions kwani kwa nmna moja anamkaribisha shetani na hili ndio tatizo. Mr aulizwe kwa upendo na unajua kweli sisi wanaume ni tuwapo kwenye ndoa tunatakiwa kulelewa kama wanenu wa kwanza; bado mie nagombezwa kwa kutupa tupa nguo kitandani! Sasa hutakiwi kuumia kwa hilo unanielekeza!
Lets think positively on this nawaunga mkono wote wasemao ex-gf sio wife material angekuwa alipewa usukani.
 
I love wan JF!

Lets think positively on this nawaunga wote wasemao ex-gf sio wife material angekuwa alipewa usukani.
Huwa una mipointi mtu wangu acha kabisa.

Hawa hawajui, ukianza kung'aka hovyo utakuja kujuta. siku atapata mtu hagombi kuhusu nguo kutupwa kila mahali, hang'ang'anii kuambiwa asante kwa chakula ni kitamu sana, akichelewa kidogo week end hapewi lecture ya 1/2hr hata kama ni genuine unajua ana-hang out na washkaji zake on week end.......stukeni ladies!!
 
I love wana JF!

Yaani michango yote mliyotoa hapa mko shihi nami nimejifunza sana; naomba niseme kitu kimoja; huyu rafiki yako hana sababu ya kuumia ikiwa hajaliweka hili suala wazi kwa Mr. Asiumie on assumptions kwani kwa nmna moja anamkaribisha shetani na hili ndio tatizo. Mr aulizwe kwa upendo na unajua kweli sisi wanaume ni tuwapo kwenye ndoa tunatakiwa kulelewa kama wanenu wa kwanza; bado mie nagombezwa kwa kutupa tupa nguo kitandani! Sasa hutakiwi kuumia kwa hilo unanielekeza!
Lets think positively on this nawaunga mkono wote wasemao ex-gf sio wife material angekuwa alipewa usukani.
Hivi jamani kwanini wanaume tu ndio walelewe kama watoto kwani wanawake hawahitaji kulelewa kama watoto?mi nadhani pande zote mbili zinahitaji kubembelzwa na kulelewa vizuri kama watoto wadogo.tuasche mifumo dume yakuaminisha wanawake kwamba mwanaume pekee ndio anahitaji kulelewa.
 
huyu mwanaume atakuwa bado anampenda huyu demu wake wa zamani.

haya ni mambo ya moyoni ati,
wewe unang'ang'ania picha, kumbe kuna chupi na shati anavaa alipewa na mtu wake, tena sio huyo mwenye picha.
sio black and white kiivo.
 
Hivi jamani kwanini wanaume tu ndio walelewe kama watoto kwani wanawake hawahitaji kulelewa kama watoto?mi nadhani pande zote mbili zinahitaji kubembelzwa na kulelewa vizuri kama watoto wadogo.tuasche mifumo dume yakuaminisha wanawake kwamba mwanaume pekee ndio anahitaji kulelewa.
kama unataka kulelewa oa na wewe!!
 
haya ni mambo ya moyoni ati,
wewe unang'ang'ania picha, kumbe kuna chupi na shati anavaa alipewa na mtu wake, tena sio huyo mwenye picha.
sio black and white kiivo.

Nakubaliana na wewe Birigita.Sasa katika hali kama hii mtu afanyeje?aendelee kuumia au amwambie jamaa?
 
Unawqeza kumwambia kuwa unazitoa sio azitoe yeye, lakini inategemea jamaa yukoje, mijitu mingine inaweza kuona sasa huyu vipi....utakuwa unamjua mtu wako.

au kama vipi, kimya kimya unazitoa. halafu siku nyingine tu mkiwa na raha sana unaanzisha katopiki na mkiwa mnacheka cheka unamwambia kama zile picha za yule ex wako nimezichomelea mbali, nitaua mtu mimi anayetaka kukusalandia. sio umwambie nitakuua wewe ukisalandia.
 
Hii haitleta madhara.What if akaja kugundua kwamba havipo kabla hamjapata wasaa wakuwa na hiyo raha unayoisema?
 
Hivi jamani kwanini wanaume tu ndio walelewe kama watoto kwani wanawake hawahitaji kulelewa kama watoto?mi nadhani pande zote mbili zinahitaji kubembelzwa na kulelewa vizuri kama watoto wadogo.tuasche mifumo dume yakuaminisha wanawake kwamba mwanaume pekee ndio anahitaji kulelewa.

bahati mbaya nilikuwa nalenga kwenye issue iliyopo hapa; Inaonyehsa kwa kiasi mwanamke yuko insecure kwa mambo ambayo hayajathibitika! na huo ulikuwa ushauri wangu ni kwa namna gani amwaproach but the vice versa is the same; aah sijui ndo kingredha chake!:rolleyes:
 
Unawqeza kumwambia kuwa unazitoa sio azitoe yeye, lakini inategemea jamaa yukoje, mijitu mingine inaweza kuona sasa huyu vipi....utakuwa unamjua mtu wako.

au kama vipi, kimya kimya unazitoa. halafu siku nyingine tu mkiwa na raha sana unaanzisha katopiki na mkiwa mnacheka cheka unamwambia kama zile picha za yule ex wako nimezichomelea mbali, nitaua mtu mimi anayetaka kukusalandia. sio umwambie nitakuua wewe ukisalandia.

Kudos Bigirita!

Asante kwa heshima ulonitukuza lakini pia hata wewe hats off mazee! ni watu kama weewe na hekima zenu mmnishawishi kujiunga JF baada ya kuwa guest kwa miaka 2!
 
Hii haitleta madhara.What if akaja kugundua kwamba havipo kabla hamjapata wasaa wakuwa na hiyo raha unayoisema?

Akiihandle the way Bigirita says haina madhara; tena yaweza kuwa jioni yake tu huku wamejilaza kwa bed mamaa anakanga mjoa hukua nakuna kuna garden ya mzee!

Ladies kajaribuni! you'll be surprised the things we men can do in the name of LOVE! huku vichwa tumevibeba kwenye matoroli kwa ukubwa! ha ha ha ha ha ha ha :D
 
Join Date: Tue Jan 2010
Location: Igangidung'u
Posts: 832
Thanks: 1,908
Thanked 215 Times in 170 Posts
Rep Power: 22

Mkubwa uko juu ile mbaya yani! hapo kwenye bold panahusika
 
Kuna rafiki yangu mmoja, analalamika na kuhuzunika kuwa mume wake bado anamiliki picha,maua,kadi na hata mashairi ya mapenzi aliyokuwa akitumiwa na mpenzi wake wa zamani.Huyu binti yuko kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa. Hivi vitu ni vya mpenzi wake wa zamani ambaye waliachana kabla ya kuwa na huyu rafiki yangu.Rafiki yangu huyu roho inamuuma kwani anahisi mumewe huenda akawa bado anampenda huyu mnyange wake wa zamani,anasema amevumilia sana.Mbaya zaidi mumewe na huyu mpenzi wake wa zamani wanafanya kazi ofisi moja hivyo hukutana karibu kila siku.

Hivi hii imekaaje,je huyu jamaa ni kweli bado anampemnda huyu mpenzi wake wa zamani?je binti avichome moto hivi vitu?
Jamani tuache hii copy and paste theory,hii story niliisikia ikisimuliwa katika kituo kimoja cha redio kuwa kuna mtu imemtokea,sasa leo naiona humu,aaah tutafuteni threads zetu wenyewe!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom