Mpenzi wa Zamani Anapokuchangamkia

Uzuri wa kitu huwezi kuujua kama unacho kwapani na kimejaa tele...Ila kikikuponyoka tu, ndo unagundua kuwa umepoteza Diamond.

Na wakati mwingine inakuwa too late, huwezi kukipata tena.

Hadithi hii inatufundisha kukumbuka kuwa hata kama tumeshiba, tusitupe sahani za kulia!

Babu DC!!

Exactly! Ila babu wajukuu zako tunapenda mambo ya fasta unampata leo akionyesha kufa unatafuta pembeni........Kifupi unaona takataka unaweka kando na maisha yanaendelea.............Tuseme kabla ya kuingia kwenye mahusiano unahitaji kufanya "brain storming"? au sio
 
Ni poa tu kwa sababu umri unawaruhusu kufanya biashara ya kuonja onja karanga!

Ila ni vizuri kukumbuka kuwa ni mahusiano machache sana, yanayoisha bila masahahihisho...Bahati mbaya, kuna mengine yataka kufanya hayo masahihisho wakati mwalimu alishastaafu!

Na hapo ni kilio na kusaga meno................au ipo fursa, mwalimu akistaafu haina maana passion ya kufundisha imeisha!!
 
Umesasahau mkuu kuwa kwa Bongo hii, mtu anapostaafu hata siku zake za kupumua zinahesabiwa??

Huyo X mwambie kuwa ajione kama amepoteza mkono wa kulia na sasa hana jinsi zaidi ya kujifunza na kuzoea mkono uliobaki!!

Babu DC!!
 
si uongo babu DC siku zote majani hua ni ya kijani upande a pili

Kweli kabisa Chauro,

Halawafu wakati unayaona hayo majani yamestawi vizuri, unakuta hiyo field ina fence ya umeme na geti linalindwa na vijana wakazi 24/7!

Sijui hata unaanzia wapi?

Ila wengine tumewasaidia kwa kuwaeleza kuwa wajione kama wajane vile!

Babu DC!!
 
Umesasahau mkuu kuwa kwa Bongo hii, mtu anapostaafu hata siku zake za kupumua zinahesabiwa??

Huyo X mwambie kuwa ajione kama amepoteza mkono wa kulia na sasa hana jinsi zaidi ya kujifunza na kuzoea mkono uliobaki!!

Babu DC!!

Ujumbe umefika
 
Kawaida sana kutokea....kwani mnapoachana siyo kila mmoja anakuwa tayari, kusema tuachane ni rahisi ila kutekeleza ni shughuli nzito
 
UMUHIMU WA JINO UTAUJUA LIKING'OKA

unapokuwa ktk uhusiano huwezi kujua umuhimu wa patna wako mpaka aondoke, na ukiwa huna huwezi kujua kama unamisi mpaka upate
 
Back
Top Bottom