Mpenzi wa Zamani anaisumbua kichwa yangu!

Wisdom

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
472
111
Jamani wana JF ninaomba msaada wenu,
Kuna binti mmoja nilikuwa namdate tukiwa shule tena O level me nikiwa IV yeye II nilipomaliza tu shule mawasiliano yalikata, imepita miaka 16 toka tulioonana na kuwasiliana mara ya mwisho.
Juzi kwenye sherehe za Mei mosi nilienda morogoro nikakutana naye na tuaongea sana, yeye alizalishwa mtoto miaka nane iliyopita lakini hajaolewa. Mimi nimeona na ninafamilia yangu ila kuna chembe ndogo ambazo bado ninamfeel, anataka tuwe wapenzi, nimeongea nae sana na kuhusu mazingira yanayotuzunguka lakini kang'ang'ania anasema eti mimi ndo wake wa maisha na yuko tayari kuwa back up, Je ndugu zangu mnanishauri vp kuhusu hili suala?
 
Pole sana! Jamani msaidieni mawazo kijana wetu!
 
MKUU unaonekana ni mtu mzima na mwenye uelewa, hivi kweli upo serious unataka ushauri? sipati picha kabisa
 
Unataka ushauri wa nini? hujui hatari ya kitu unachotaka kufanya? Umeshajiuluza mke wako akigundua itakuwaje? kama wewe ni wake wa maisha how come alizaa na mwanaume mwingine?
 
kama Mwafrika unakubaliwa kuoa mke wa pili lakini kwanza muarifu mke wako wa kwanza
 
Wewe umeshaoa mpende mkeo kama unataka kuwa na mpango wa kando endelea
elewa faida na hasara zake
 
Kwani hilo nalo linahitaji ushauri au ni maamuzi ya kichwa na moyo wako kama imani yako inaruhusu kuendelea kuoa ongeza wa pili!
 
Baba David,

Hakuna ubaya wowote kukumbshana kidogo! Kamata mzingo, na atakuwa anakupa "company" katika safari zako za Morogoro
 
Lizzy mpaka kuja kuuliza hapa tayari inaonyesha haieshimu iyo ndoa na ana mawazo mawili kuhusu mkewe anayeheshimu jibu lingekuwa hapana na kumsahau angeshasahau.

Kama unaiheshimu ndoa yako sema HAPANA!!
 
Huku ndo kununua magonjwa jamani na wewe una shauri nini anajua historia yake ilikuwaje toka alipomuacha na anapokuwa huku na mkewe atakuwa anamsubiri yeye tu mpaka apate safari kama sio kuua familia zetu ni nini icho embu tuwe tunapima tamaa za miili yetu na hasara zake poooooooo.



Baba David,

Hakuna ubaya wowote kukumbshana kidogo! Kamata mzingo, na atakuwa anakupa "company" katika safari zako za Morogoro
 
Lizzy mpaka kuja kuuliza hapa tayari inaonyesha haieshimu iyo ndoa na ana mawazo mawili kuhusu mkewe anayeheshimu jibu lingekuwa hapana na kumsahau angeshasahau.
mimi nadhani alioa wife material, a woman who can raise his watoto kwa namna nzuri (awe umbo zuru au baya ila alitaki mke mwema)
By this time anawazia apate cherokee wakubamba,wa kumridhisha sexually just for some periods.(wanaume wengi wana hii kasumba kwa sasa)
 
Pole kaka hata kama ni nyumba ndogo wenzio wanachagua. Yaani huyo mdada maisha yamemgonga ndio anajidai kukuganda. Angekuwa wa maana asingejitongozesha. Je unajua ameshawatongoza wangapi au unadhani wewe ni handsome sana? Huyo dada ameshazalishwa si hajabu maisha yanamgonga anakuhitaji wewe kama ATM and watch out you might be one among the list of her financial donors.
 
Baba David,

Hakuna ubaya wowote kukumbshana kidogo! Kamata mzingo, na atakuwa anakupa "company" katika safari zako za Morogoro
Hili ndilo alilotaka baba David aambiwe, Maana mtu umeoa huwezi kuja omba ushauri kama huu! Haya baba David fuata ushauri wa Baba Enock
 
Back
Top Bottom