Mpenzi nilikuzoea japo haikuwa lengo langu ila nakupenda bado!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mapenzi nikitu cha ajabu sana,Fikiria mpenzi umpendae kwa dhati ukimkosa kwa dakika unijisikiaje??Katika maisha kuna vizingiti vingi hivyo unaweza kuvikwepa ila saa nyingine ukajikuta umejikwaa bila kutegemea!!namatokeo yake ukajikuta umepishana na mpenzi wako katika baadhi ya mambo hata kutengana na pengine ukajikuta umeoa/umeolewa lakini ukikumbuka kwajinsi ulivyokuwa ukiishi naye ujisikia huzuni moyoni nakujigundua kuwa haikuwadhamira yako hivyo kutafuta nafasi nyingine yakumwambia,"Mpenzi nilikuzoea japo haikuwa lengo langu ila nakupenda bado!!"Hivyo ukkiambiwa hivyo sikia huruma kaswa mwenzio tafakari kwani kawapita awangapi mpaka arudi nyuma kilomita 100??No one perfect!take note.
 
Kaka Kiiza unanishawishi nikuunge mkono kwenye nini! Wakati unarudi nyuma Km 1000 ku apologize yeye atakua pale pale kwa maana ya moyo mpweke kukusubiri? Na je yule aliyechukua nafasi baada ya maamuzi magumu baadae utamplease kwa kwenda mbele 1000 km baada ya kumfata ulomwacha 1000 km? Salam
 
Tunajifunza kutokana na makosa, ila kila jambo lina sababu mpaka likatokea huwezi jua umeepushwa na nini mbeleni :A S-key::A S-key:
 
Kaka Kiiza unanishawishi nikuunge mkono kwenye nini! Wakati unarudi nyuma Km 1000 ku apologize yeye atakua pale pale kwa maana ya moyo mpweke kukusubiri? Na je yule aliyechukua nafasi baada ya maamuzi magumu baadae utamplease kwa kwenda mbele 1000 km baada ya kumfata ulomwacha 1000 km? Salam
Nirahisi kwani lazima mmeulizana huko nyuma mlikuwaje nakama anajua ulikuwa namtu mwambie imekuwa hivi in strong word if you're in love with your former lver
 
Kakakiiza bwana, pole mwaya, inatakiwa tuwe tunafikiria kabla ya kuwaacha wapendwa wetu.
Ndo hivyo, kosa dogo tu, unmwacha mtu mwenye lulu ya furaha ya nafsi yako, baada ya muda unakuja kujuta.
Sasa maji yameshamwagika, songa mbele, usirudi nyuma.
 
Will it make any difference? If not, jus know tht living with regret won do u good.
 
that's life my dear
Vitu vingi unavyofanya
unafanya kwa uchaguzi wako
Now u have to live with the consequences...
 
Hii kakakiiza ni matokeo ya wengi wetu kutokuwa na mazoea ya kutokutake time na kumalizana na feelings za penzi lililopita. Mara nyingi tunasema "Time Heals" unfortunately ni wachache sana tunaowezakuitumia hiyo time ituheal. Matokeo yake tunafikiria am through with him/her let me move on.kumbe ukweli ni kuwa tunakuwa tunasuppress feelings zetu. Na kwa kuwa feelings ni feelings they never die, zinatulia tu na kusubiri kuwa triggered ziibuke.

Ninaamini kabisa tungekuwa tunaitumia vizuri time, tunachukua muda kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine tungekuwa na uwezo wa kugundua nini tunamiss na kuitambua thamani ya lulu tuliyoipoteza na hivyo kama feelings ni mutua na kama wote tumetake time vizuri mnawezajikuta mnarudiana kabla ya kucommit kwa mahusiano mengine.
 
baba yangu aliwahi kuniambia hivi....mwanamke wa kwanza kuoa ndio mke....ikitokea ukamuamuacha utaendelea kuacha na kamwe hata siku moja hutakuja kumpata kama yule ( hii inaply kama tatizo liko kwako mwanaume) kila ukikaa na mke unamuacha ......hata kama ana upungufu huyo ndio wako...sana sana utayumba katika maisha na hakuna utakachopata sana sana ni shimo la pembe nne na futi sita kwenda chini....

kitanzi cha mapenzi na kuoa huja taratibu sana.......
 
kwa jinsi nilivyokuelewa watu wenye tabia Kama za namna hiyo huwapendi kabisa huna tofauti na mdanganyifu
 
nimefarijika na maneno yako kwani nimegundua wewe nimtu wa aina gani japo sijapata bahati yakukuona kwa sura na labda haitatokea what i brve there is a day i'll meet you under the earth or in the even!!Nimefarijika kiukweli!!

Wengine hawaLET YOU GO GENTLY...anakuangusha kama kikombe cha udongo chenye chai ya moto!Wanahakikisha unabaki na maumivu!
Ahaaa weeee acha nao hawa siwakuwategemea sana ukikuta kauzu utamtambua mwanamke nini!!!

baba yangu aliwahi kuniambia hivi....mwanamke wa kwanza kuoa ndio mke....ikitokea ukamuamuacha utaendelea kuacha na kamwe hata siku moja hutakuja kumpata kama yule ( hii inaply kama tatizo liko kwako mwanaume) kila ukikaa na mke unamuacha ......hata kama ana upungufu huyo ndio wako...sana sana utayumba katika maisha na hakuna utakachopata sana sana ni shimo la pembe nne na futi sita kwenda chini....

kitanzi cha mapenzi na kuoa huja taratibu sana.......
Hizo niimani na imani ukiisujudu inakuwa lakini hakuna kitu kama hiki!!Wapo walioacha na kuoa upya na wanaishi mstarehe na wamesahau karaha za awali!!

Anahakikisha kama hajakuacha kwa makovu basi kwa kashfa juu.
Ahaaaa Nikweli kabisa wanawake wapo hata wanaume tupo wajinsia hiyo unaachana na mwanamke unamtangaza kuwa yeye ndo hakunakitu ni mmoja wakila mabaya yote duniani nahii inatokea pale mwanaume akiachwa huku anapenda!!wasiokuwa wastaarabu wanakuwa nakashifa mimi hiyokwangu naona niushamba kwani ukiachana na mtu silazima umkashifu umtangaze kwwawatu hata mliyoyafanya hata kama alikujaia tiGo yanini kusema??

kwa jinsi nilivyokuelewa watu wenye tabia Kama za namna hiyo huwapendi kabisa huna tofauti na mdanganyifu
Kwahiyo mimi n9immoja kati yahao?au nimekuelewa vibaya??
Kweli mjukuu tena anakuwa amedhamiria ili kila anayekujua akikutana na wewe njiani akuone wewe ndio mubaya
Acha noma kila ukikutana na mtu vipi mbona wewe kavu??kama ndo umeachwa lazima utangaze mtaa??unabaki unashangaa maana ujafanya hivyo!!
 
Mapenzi nikitu cha ajabu sana,Fikiria mpenzi umpendae kwa dhati ukimkosa kwa dakika unijisikiaje??Katika maisha kuna vizingiti vingi hivyo unaweza kuvikwepa ila saa nyingine ukajikuta umejikwaa bila kutegemea!!namatokeo yake ukajikuta umepishana na mpenzi wako katika baadhi ya mambo hata kutengana na pengine ukajikuta umeoa/umeolewa lakini ukikumbuka kwajinsi ulivyokuwa ukiishi naye ujisikia huzuni moyoni nakujigundua kuwa haikuwadhamira yako hivyo kutafuta nafasi nyingine yakumwambia,"Mpenzi nilikuzoea japo haikuwa lengo langu ila nakupenda bado!!"Hivyo ukkiambiwa hivyo sikia huruma kaswa mwenzio tafakari kwani kawapita awangapi mpaka arudi nyuma kilomita 100??No one perfect!take note.
Kaupata ujume ila hawezi kuwa na wewe tena sababu ushaoa na yeye anatafuta wa kufa nae na wa kuota nae jua uzeeni, muache ubinafsi, umemuacha mwenzako ukaamua kuoa unafikiri yeye ana moyo wa chuma? kakusahau kaanz maisha mengine then unakuja na single yako hii please leave her alone kakaliza
 
Mapenzi ni magumu, tunahitaji HEKIMA za Suleiman, IMANI ya Ibrahim. Mshirikishe Mungu kila jambo.
 
Back
Top Bottom