Mpenzi my Swirry nitumie bhanaa!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Mdada ambae ni jirani yangu , jana usiku mida ya saa 4 hivi , mimi nikiwa nimekaa nje ya nyumba kibarazani , nae alikua amekaa nje kibarazani kwao.
Distance iliopo baina ya vibaraza vyetu huhitaji kuzima redio kusikia yaongelewayo upande wowote kati yetu .

Mdada akiwa anaongea na simu na mpenzi wake huku akiwa ameweka speaker loud mara nikasikia hivi ;
"Yaani Devy mpenzi wangu ninavyokupenda sipati picha kabisa!
Mpenzi muda huu najisikia ku'share nawe chochote dear !
Mpenzi kama muda huu umelala ntumie nami kidogo usingizi wako!
Kama unakula nitumie mchuzi !
Kama unalia nitumie machozi !
Kuna aliyekuudhi na una hasira nitumie hizo hasira kidogo nikusaidie!
Aidha waumwa nitumie kdg ugonjwa ! "

Sauti ya upande wa pili ya kiume ikajibu :-
Niko chooni nikutumie mav....?
 
sometimes mapenzi kweli kafiri...yaani ni usanii usanii tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom