BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 573
We unajua kusoma kupi/vipi?
fafanua huo usomaji
We unajua kusoma kupi/vipi?
Hope hujasoma vizuri BPM nimesema hiyo ni njia ya mwisho kbs means nimeshatumia njia zingine na zikashindikana ina maana yaliyotokea na suluhu niliyojaribu kuitafuta imeshindikana hope kwa mie kutaka kuondoka kutamshitua na kujitambua,inawezekana kwa namna nyingine yeye hakuchukulia serious vile na sasa kwa mm kuchoka mpaka nataka kuondoka na kumbe yy bado ananihitaji kamwe naamini hatachukulia kama ni kitisho na hataruhusu niondoke badala yake atatafuta suluhu na kuyamaliza.je kutumia kitisho ndo unaamini ni njia sahihi ya wewe kukuita na kukaa chini kuongea tatizo??? ina maana wewe huwezi kumwambia mwanaume ukae nae kwa ajili ya kuongea tatizo???
mi nikisema naondoka nakuaga nazuga tu nikuone mshipa wako!
Hope hujasoma vizuri BPM nimesema hiyo ni njia ya mwisho kbs means nimeshatumia njia zingine na zikashindikana ina maana yaliyotokea na suluhu niliyojaribu kuitafuta imeshindikana hope kwa mie kutaka kuondoka kutamshitua na kujitambua,inawezekana kwa namna nyingine yeye hakuchukulia serious vile na sasa kwa mm kuchoka mpaka nataka kuondoka na kumbe yy bado ananihitaji kamwe naamini hatachukulia kama ni kitisho na hataruhusu niondoke badala yake atatafuta suluhu na kuyamaliza.
Sisemi kwa wanaume kwani ni mara chache mwanamume husema "Naondoka" hasa katika tamaduni zetu. Lakini wapo wale wanaoishi katika nyumba ya mke, wanaweza kusema hivyo. Au wale ambao kwa kuwa hawataki mwanamke au watoto wao wataabike, wanaweza kusema "Naondoka" na wakaondoka.
Lakini hapa hasa kauli hiyo hutolewa na wanawake, na mwanamke haamki na kusema naondoka bila sababu yoyote. Kwa kawaida, huwa wamechoshwa na visa vya mume; wachache husema hivyo ikiwa wamepata wanayemhisi bora kuliko waliyenao. Kwa upande wangu kama mwanamume, kwanza nimejifunza kuheshimu NO/HAPANA ya mwanamke. Mwanamke akiniambia HAPANA, ninaheshimu neno lake.
Mwanamke ananiambia naondoka, ikiwa nimemkosea nitamwomba samahani kwa kosa langu na kuhakikisha ninajirekebisha, lakini katu sitomzuwia kuchukua maamuzi yake. Na ikiwa sioni kama nimemkosea, nitakachokahikisha ni kuwa hasau chochote chake ndani ili asije akajidai kurudi eti "nilisahau upawa wangu". Anaondoka na kuchuka mpaka sindano yake; kubwa nitakalohakikisha ni kumsindikiza mpaka pale nilipokwenda kumchukua. Ikiwa ni kwa wazazi/jamaa zake, nitahakikisha ninawakabidhi mikononi.
Utakuwa ulikua humpendi mwenzio na ulikuwa unamtafutia sababu tu,na mateke tena lol!Ungekuwa na mimi ungeshika adabu, mi huwa nafungua mlango kabisa, na kama vipi natanguliza nje kilambo chako kwa teke la nguvu!
Hope hujasoma vizuri BPM nimesema hiyo ni njia ya mwisho kbs means nimeshatumia njia zingine na zikashindikana ina maana yaliyotokea na suluhu niliyojaribu kuitafuta imeshindikana hope kwa mie kutaka kuondoka kutamshitua na kujitambua,inawezekana kwa namna nyingine yeye hakuchukulia serious vile na sasa kwa mm kuchoka mpaka nataka kuondoka na kumbe yy bado ananihitaji kamwe naamini hatachukulia kama ni kitisho na hataruhusu niondoke badala yake atatafuta suluhu na kuyamaliza.
wengi huwa akiona haujishughulishi na
mikwara yake hiyo, ataanza kuanzisha
argument za kutaka umjibu ili apotezee ule mkwara wake
ili nawe uingie kwenye discussion, mara
anaanza kulia kisanii na machozi ya kisanii juu.
Mkuu ukishaona hivyo, we timua nna uhakika ukirudi utamkuta alivyo 'vimba'
ujue tayari huyo kwisha habari yake. Haiwezekani masikio yakizidi kichwa bwana!
Ni sawa BPM,lkn ujue kuna watu wengine anaweza akawa nafanya mambo kwa mazoea may be hilo tatizo ni lakujirudia kwa mfano anakuwa nanipiga kila mara na hiyo mkesi huwa ina suluhishwa mwara nyingi na kupatiwa ufumbuzi but anaendelea kurudia na sijawahi kusema naondoka yy anajua kitafata kikao tu then yataisha kln akisikia naondoka na anajua anayo maonyo ya kutosha atangudua imefika stage mbaya nitamkosa mwenza na si ishu ya vikao tena naamini inaweza kumstua na ikawa mwisho wa tatizo!ni sawa ila kumbuka ukishatumia njia mbali2 atika kutafuta suluhu na hasa mkishashirikisha watu au kuwekwa vikao tayari mtu anafunguka na kutambua kosa au makosa na pia kutatokea waungwana wa kujaribu kusaidia kimawazo .. na kama itaonekana kushindikana nadhan wakati suruhu ikiendelea tayari mtazamo wa kuvunja au kutengana katika mahusiano kutaonekana wazi au unaweza kuuweka wazi wakati wa mijadala.. sasa mkiwa nyumbani naamini hakuna sababu ya kujaribu au kutishia kuondoka ilihali kuna mwafaka fulani utakuwa umefikiwa na kama hakuna mwafaka utakuwa unamaanisha unapofungasha vyako
Imefika mahali mwanamke anasema "I'm leaving you" au "Naondoka" na anaweza hata kuanza kufunga virago na hata kukata tiketi. Je ina maana gani? Je mwanamme afanye nini? Je anatingisha kiberiti tu au ni hasira? Au mwanamme amwambie tu "nenda kwani nani kakukataza?". Hivi dada zetu wanaposema hivi huwa wanamaanisha kweli? Je mwanamme akionekana hajali kama ataondoka au la ni sahihi au ndio kutegeana...?
Bila ya shaka kama ninajijua kuwa nimemkosea, nitaomba radhi kabla ya kufikia hatua ya kuniambia anaondoka. Lakini si mara zote tunaelewa na kukubali kama tulilotenda ni kosa. Tunaweza kutenda kosa ukiamini kuwa tulitenda ndivyo, lakini kama ndani ya mahusiano mna utamaduni wa mawasiliano, mwenzako anakueleza mpaka unaelewa au mnaelewana. Kama nilivyosema mwanzo, mwanamke hakurupuki tu kusema anaondoka. Ikiwa hakuna sababu kabla ya hapo, hivyo ni wajibu wa mwanamume kuepuka isifikie hatua hiyo ikiwa yeye ndio sababu.ina maana hadi atishie kuondoka ndo utambue kosa lako na kuomba msamaha???
Mara nyingi haya yanatokea kwenye ndoa changa....iliwahi kunitokea na kweli akaondoka! Lakini baadae, baada ya kuona sijatetereka na inaweza kula kwake for good akajirudisha mwenyewe.
Ni kweli. Alikuwa ananituhumu 'kufanya kitu' ambacho mimi nilikuwa na uhakika 100% kuwa hakikuwepo/sikukifanya....so nilikuwa na 'confo' la kumwacha afanye analotaka. Nadhani alifanya uchunguzi akagundua kuwa 'kachemka' ikabidi arudi. Hata hivyo nilipitia kipindi kigumu sana.....it was the worst time of my marriage!huo ndio mpango, ukiona hujamkosea wala usijisumbue kumbembeleza ili akili imkae sawa.