Mpeni pole baba Lulu........

Hakuna Pole hapa kwa huyu Mzee thubutu! Labda kama nina POLE za extra .... ambazo kwa bahati mbaya sina. Hana issue anachoongea ni 2+2-5.
 
Tusiwe warahisi sana kulaumu juu ya malezi ya mwanae. Uhusiano wa mama na baba unachangia kwa kiasi kikubwa
malezi na tabia ya mtoto. Malezi ya upande mmoja wenye mwanya unachangia sana mtoto kujifunza kutoka ulimwenguni
Dunia imemfunza Lulu, Pigo vilevile linakwenda kwa wana sanaa kuchangia kuharibu maisha ya vijana badala ya kuwafunza
 
usanii ni noma kwenye jamii!
 
Watu wa humu kwa crticism (kulaumu?) ndiyo mabingwa. Eti ooooh baba hakumlea vizuri, ooooh mama amemwachia, blah blah blah!

Subirini hao wa kwenu muone kama ni rahisi kumcontrol teenager kama munavyolaumu. Kuna wanaofungiwa kwenye mageti na bado wanatoroka usiku usiku kwenda madisco.

Siku zote mzigo wa mwenzako kwako ni sawa na kanda la usufi (yaani mwepesi sana)
 
Watu wa humu kwa crticism (kulaumu?) ndiyo mabingwa. Eti ooooh baba hakumlea vizuri, ooooh mama amemwachia, blah blah blah! Subirini hao wa kwenu muone kama ni rahisi kumcontrol teenager kama munavyolaumu. Kuna wanaofungiwa kwenye mageti na bado wanatoroka usiku usiku kwenda madisco. Siku zote mzigo wa mwenzako kwako ni sawa na kanda la usufi (yaani mwepesi sana)
afadhali anayeonywa anatoroka kuliko anayeachiwa ajifanyie kibaya chochote atakacho.MZAZI ANATAKIWA APLAY PART YAKE KAMA MZAZI
 
Usiwe na wasiwasi Baba Eliza, bint yako hata fugwa jela ila kwa sasa wana mu-isolate na jamii, vumbi la mawazo juu ya kifo cha The Great likitulia na jamii ikianza kusahau, ATATOKA KOROKORONI na kurudi Uraiani!
 
pole ya mwanae kuhusishwa na kifo cha Kanumba

pole ya mwanae(under 18) kujihusisha na mapenzi na the guy(28)

ipi?
 
Back
Top Bottom