Mpeni pole baba Lulu........

dah hapa ndo namkumbuka nzazi aliponiambia"kuzaa hata siaimizi anazaa
..kulea ndo pagumu hapo
 
Hivi hayo maswaibu yote yaliyokuwa yakiandika katika magazeti yeye baba eliza aka lulu hakuwahi kusikia akamkyanay wmanae?????? mh
 
Pole kwa kufiwa na Mwalimu wa Bintiyo:disapointed:

kinyerezi wajamani wacha fujo...........tumpe pole ya mwanae inatosha na tuache wafu wazike wafu wenzao.........
 
Huyu mzee vipi? Alikuwa anafurahia kuona vichupi vya mwanae kwenye magazeti! Sasa anajaribu kuwa mzazi huku inaonyesha wazi kabisa yakuwa alimuachia majukumu yote mkewe? Dunia hadaaa ulimwengu shujaa. Badilisha tabia, is not too late!
 
Mkuu nakubaliana na wewe, wazazi wa huyu binti ni vizuri wakajiepusha na maelezo mengi kuhusiana na Lulu, wanaweza kujikuta wazungumza vitu vitakavyomponza binti yao

Kunta pole tu sasa yatosha kabisa..mengineyo yatafuata.....
 
baba lulu na mama lulu kwa pamoja walishindwa kumlea mtoto wao waliomleta dunian, wakasema dunia iwasaidie ndio ivyo ngoja dunia imfundishe maisha huyo hot lulu.
 
Huyu mzee vipi? Alikuwa anafurahia kuona vichupi vya mwanae kwenye magazeti! Sasa anajaribu kuwa mzazi huku inaonyesha wazi kabisa yakuwa alimuachia majukumu yote mkewe? Dunia hadaaa ulimwengu shujaa. Badilisha tabia, is not too late!

hivi pole yako iko wapi.........mpe pole yatosha kwa leo hayo tutayaangalia mbele ya safari........
 
baba lulu na mama lulu kwa pamoja walishindwa kumlea mtoto wao waliomleta dunian, wakasema dunia iwasaidie ndio ivyo ngoja dunia imfundishe maisha huyo hot lulu.

kwa hiyo kazi ya kumlea mwana ikaangukia kwa nguli wa filamu hapa tz?
 
he looks smart n inteligent,
i wonder alichemka nn dogo akaingia chaka
 
Pole we mijibaba nyangumi inammega binti yako bila huruma!

kumbe mnajua mtoto wa watu alikuwa anabakwa tangia kakiwa kinda hadi leo.................NATA asante kwa kuweka hadharani habari hii ambayo wengi hawataki kusikia.......
 
Hivi hayo maswaibu yote yaliyokuwa yakiandika katika magazeti yeye baba eliza aka lulu hakuwahi kusikia akamkyanay wmanae?????? mh

mzee katulia hasomi pwagu na pwaguzi..................mpe pole basi........
 
dah hapa ndo namkumbuka nzazi aliponiambia"kuzaa hata siaimizi anazaa
..kulea ndo pagumu hapo

cmoney hata neno pole lakushinda wajamani??????????????
 
Hayo ndo matokeo ya kulea kwa rimoti kontrol
Kama kuna wa kulaumiwa kwa matatizo ya lulu huyu baba lazma awe nambari 1

Huyo Mzee haniambii kitu kwani hakuna alichofanya ku-intervene alipogundua kuwa kwa kuingia kwenye tasnia ya filamu amepotea. Hakusimama kwenye nafasi yake.
 
huo ujuzi kalioupata sijui katautumia wapi, huyu baba sijui anajua? kwa hilo ndo naweza mpa pole, ooh nimekumbua Ruta, katakuwa kanaishi kwa matum. . . .aah kweli pole we m'baba.
 
Hayo ndo matokeo ya kulea kwa rimoti kontrol
Kama kuna wa kulaumiwa kwa matatizo ya lulu huyu baba lazma awe nambari 1
Wanaharakati waanzie kwa baba kwa kukimbia majukumu, halafu mama - hawa ndio chanzo cha matatizo ya huyu binti. kivipi, Baba kama walivyo baba wengi wa Africa alimuacha mama na mtoto akasepa zake Moshi. Mama nae kakaa na mtoto akaona kumlea ni kumruhusu kupiga picha za uchi kwenye internet, kumruhusu kutoka na RIP, Ak, Mheshimiwa na wote katika list ya bint, bint kuleta pesa nyumbani akaona sawa sawa mwanangu anabahati kama nini - bila kufuatilia kinachoendelea. Matokeo yake ni hayo sasa. Mbona wasanii wengi tu wameiigiza wakiwa wadogo lakini haijafikia kiasi hiki. mf. yule Monalisa mbona poa tu hadi ameolewa hafanyi hayo ya huyu mtuhumiwa.
 
Back
Top Bottom