Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 281
Nikiwa kama veterani wa kikapu... namtazama Hasheem kama mtu alopewa talanta akaichimbia ardhini.. mkulima anaelima afu anageuka nyuma nyuma kuangalia amalima kiasi gani.... hajachukua muda kuangalia nafasi ya michezo ktk jamii.. hajui ni idadi gani ya vjana ambao wanatamani kufuata mafanikio yake na anawapoteza kwa atendo yake... ajifunze kwa kina KANU..MANUTE BOL..DIKEMBE MUTOMBO..GEORGE WEAH na wengine ambao matendo yao ktk jamii yatakumbukwa kwa vizazi!!
Angalizo: Bado ana muda wa kujitathmini na kubadilika kwa faida yake na jamii...!!!
Angalizo: Bado ana muda wa kujitathmini na kubadilika kwa faida yake na jamii...!!!