Mpende Aduwi yako Ehhhhhh

Yawezekana huyo paka bado ananyonya!! Au huyo panya bado mdogo sana. Lini ndama mdogo alipelekwa majinjioni!
 
hii naomba wenye email ya JK wamtumie pengine atatuelewa tunapomlaumu kuhusu kuwalea mafisadi. Imagine mapanya wanamaliza mpunga ghalani, kumbe paka ni mshkaji wao wanamchezea sharubu!
 
kama paka anaweza kushi vizuri na panya kwa nini sisi tunashindwa kuishi vyema na majirani zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom