JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 217
Mheshimiwa Kamanda Fred Mpendazoe, leo kuanzia saa 10 jioni atanguruma Shy town. Atazungumzia juu ya mustakabali wa taifa na mambo mengine mengi!
mpendazoe ni raia wakawaida tu kama wewe. Ni mstakabali gani wa taifa anaoweza kutoa? pumba zingine bana. non sense thread.Mheshimiwa Kamanda Fred Mpendazoe, leo kuanzia saa 10 jioni atanguruma Shy town. Atazungumzia juu ya mustakabali wa taifa na mambo mengine mengi!

leo nilifungua thread kuandika chadema imewanyima pesa za kesi mpendazoe na wapiganaji wengine wa chadema ili waendeshe kesi za uchaguzi.

kesi nyingi zinakufa kwasababu hakuna pesa marando hana muda anshinda kuwatetea mafisadi akina jeetu.

moderator wameizuia kuitoa. kweli nimeanzima kuamini jf ni tawi la chadema.

waulizeni wagombea akina mpendazoe makao makuu chadema imewachangia kiasi gani.

kesi karibu zote zinakaribia kufutwa. thread hiyo ina ubaya gani mpaka muzuie kuitoa.

Jeny, CDM does'nt operate on cash basis kama ulivyo wewe na ritz1 (an outlaw child) wa salma.
kesi yake inakufa dar hana pesa za kulipa. wacha akajaribu kwao. wajanja akina sitta walimwingiza choo cha kike. pole mkaka mpendazoe siku nyingine akili yako changanya na ya kuambiwa.Huyu jamaa Mpendazoe anaangaika sana jamani kutafuta ubunge kaona akajipange nyumbani shinyanga! Dar es Slaam imekuwa ngumu!

leo nilifungua thread kuandika chadema imewanyima pesa za kesi mpendazoe na wapiganaji wengine wa chadema ili waendeshe kesi za uchaguzi.

kesi nyingi zinakufa kwasababu hakuna pesa marando hana muda anshinda kuwatetea mafisadi akina jeetu.

moderator wameizuia kuitoa. kweli nimeanzima kuamini jf ni tawi la chadema.

waulizeni wagombea akina mpendazoe makao makuu chadema imewachangia kiasi gani.

kesi karibu zote zinakaribia kufutwa. thread hiyo ina ubaya gani mpaka muzuie kuitoa.
huu umbumbu wako na kutojua miiko na maadili ya sheria usituletee uchuro hapa! Marando anapowatetea wakina Jeetu anatumia kofia yake kama mwanaseria na misingi ya sheria inavyosema yaani hata mwizi anahaki ya kutetewa!sasa kesi zifutwe kwasababu mmeshindwa kuchangia milioni chache za kesi. pia wanasema mgombea wenu wa shinyanga alikufa presha baada ya makao makuu kukataa kumchangia pesa.
kesi zenyewe sio nyingi. toeni pesa wana magwanda wapate haki yao mahakamani.
mnaweza kulipia magali mabovu ya mbowe na kumlipa slaa mamilioni bila kodi lakini kuwasaidia akina mpendazoe mnashindwa.
acheni roho mbaya komu wa makao makuu.
pia mnawatukana akina jeetu. wakati huo huo jasusi marando anawatetea mahakamani. kweli hata pesa ya fisadi nayo tamu.
moderators acheni kufuta threads kwasababu tu ya chadema. hapo matusi yako wapi mpaka mmeamua kuibeba kapuni thread yabgu.
huu umbumbu wako na kutojua miiko na maadili ya sheria usituletee uchuro hapa! Marando anapowatetea wakina Jeetu anatumia kofia yake kama mwanaseria na misingi ya sheria inavyosema yaani hata mwizi anahaki ya kutetewa!
Ni raia wa kawaida anaweza kuongelea sakata la bahasha ya JAIRO na madhara yake kwa taifa, kama alivyo wakomoa waanzilishi wa CCJ na kifo chake.mpendazoe ni raia wakawaida tu kama wewe. Ni mstakabali gani wa taifa anaoweza kutoa? pumba zingine bana. non sense thread.