Mpendazoe fanya harambee utatue kero za wapiga kura

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Fred,

Nakushauri uanze maandalizi ya kuchukua jimbo. Kwa kuanzia nakushauri uanze na harambee ya kuweka kifusi/mitaro kwenye barabara ya Barakuda - Vingunguti ambayo imesahaulika na serikali ya CCM.

Ukiitisha mkutano wa harambee maeneo ya Barakuda wananchi watachangia kuondoa kero ya kuogelea maji machafu kwenye kipande cha barabara hiyo kilichosahaulika ambacho ni muhimu na kinatumiwa na wapiga kura wengi wa Segerea kwenda sehemu mbalimbali za jiji kama short cut.

Usipoteze muda bali anza kutatua kero za wapiga kura uwe na uhakika wa ushindi 2015
 
Mkuu badala kuanza kufanya harambee ya kumchangia kulipa gharama za kesi ya uchaguzi ndio muhimu kwanza.
 
Mkuu badala kuanza kufanya harambee ya kumchangia kulipa gharama za kesi ya uchaguzi ndio muhimu kwanza.

Unaonaje ukiamua kuturudishia sehemu ya amana uliyokwisha tuibia umpatie komredi Mpendazoe akalipie hizo gharama za kesi ya uchaguzi?
 
Back
Top Bottom