Mpendazoe atupwa nje kura za Wagombea Ubunge CHADEMA

Hakika kama alijipeleka mwenyewe hamna shida ila kama alipelekwa, muoshwa huoshwa.

Go Slaa, together we stand, let GO!
 
Rachal Mashishanga ni mtoto wa Mzee Steven Mashishanga. Nadhani CHADEMA wametupa kete yao vibaya sana; kwani Rachel hajulikani, hayuko vocal kisiasa kiasi cha kumshinda Mpendazoe. hayuko well kiuchumi kumshinda Mpendazoe. Hana umaarufu kumshinda Mpendazoe. Nasikitika sana, kwani Rachel anagombea Ubunge siyo kushinda Jimbo bali kupata fursa ya kupeta viti maalum.

Nadhani Kamati Kuu ya CHADEMA imwombe Rache ampishe Mpendazoe.
Tusubirini.

Mimi si CHADEMA ila ni sympathiser wa Vyama mbadala, lakini mwaka huu nimeamua potelea mbali nitarudisha kadi ya Kijani! Naishi Tabata jimbo la Segerea na nilikuwa na faraja kuona Mpendazoe anagombea kwenye jimbo langu. Nilliisha amua kumuunga mkono Ili yule wakala wa mafisadi makongoro apigwe chini!!!! Chonde CCm msifanye makosa kupitisha huyo mwanamama. mtapoteza kula nyingi kwani mpendazoe aliisha jitambulisha kuwa haendi bungeni kufuata fedha.
 
acha dharau kaka.
 
Nilishangaa sana kwa Mpendazoe kukimbia jimbo alilokuwa akiwakilisha, ndipo nikagundua kuwa huenda alikuwa na walakini fulani katika ushindi uliompeleka bungeni, na uwakilishi wake katika kipindi hicho alichokuwa bungeni. Inawezekana kabisa kuwa ushindi uliompeleka bungeni ulikuwa wa kuiba kwa kutumia vyombo vya CCM na hivyo asingeweza kuupata ushindi huo tena baada ya kukosana na vyombo hivyo vya CCM. Kuamua kugombea Dar ambapo CHADEMA ilikuwa na watu wake wa siku nyingi ilikuwa ni kutoona mambo kwa kina, at least angetafuta jimbo ambalo CHADEMA haikuwa na wawakilishi wa kutosha; huyu dada Mashishanga ni wa siku nyingi sana ndani ya CHADEMA, na amekuwa mwenyeji wa huko Segerea kwa siku nyingi ambako alikuwa kiongozi wa tawi mojawapo la CHADEMA.

Hata hivyo sijui strengths za huyu Rachel Mashishanga kwani amefanya mtihani wa form four mwaka jana tu na kupata division four:

RACHEL STEPHEN MASHISHANGA: (pts 27) (Division: IV ) - Subject Scores: CIV-D, HIST-D, GEO-D, KISW-D, ENGL-C, BIO-F, B/MATH-F, COMM-F, B/KEEPING-C,
Kichuguu,hivi katiba ya nchi inaonyesha kuwa mbuge lazima uwe na madgriiiiiii?MI NAFIKIRI HEKIMA YA MTU KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA tu.Hivyo don't worry with her strengths.
 
Weweeee ...........TIDO Mhando huna maaana na TBC yako...Usituletee umwagaji damu kama Kenya.....TANGAZA HABARI za cha CHADEMA...KUDADADEKI weeeeeeeeee.............
 
Back
Top Bottom