Mpendazoe amekata mzizi wa fitina kwenye kitabu chake TUTASHINDA

Huu ni ujumbe maalum kwa Nape Magamba:


Ushahidi uko wazi, kwamba Samwel Sitta, Nape, Mpendazoe na Mwakyembe walikuwa ni wafuasi waanzilishi wa CCJ. Hili hata Kikwete analijua, bali kwa sasa ameamua kufa kwanza na Lowassa na wenzake. Akimaliza anawashughulikia Nape na kina Sitta.

Hii ni kwa sababu, Kikwete anajua anachokifanya sasa Nape ni kutaka kumuingiza Mwandosya ambaye ni rafiki wa Mwankyembe na adui wa Kikwete.

Hivyo ataamua kuwatosa wote ili afanikiwe kuweka mgombea wake, Bernard Membe. Je, Nape magamba unayajua hayo?
 
Nape anataka kumuingiza Mwandosya madarakani. Kikwete anamtaka Membe. Sasa ili aweze kufanikiwa mpango wake huo, atawafukuza wote - Sitta, Lowassa, Rostam, Mwakyembe, Nape na Chenge ili kujisafishia njia. Hongera Mpendazoe kwa kuanika ukweli.
 
Na nina imani kuwa KIKWETE atakuwa amewekewa hicho kitabu mezani ili apate kusoma na kupata full story.

Hadith inayokuja ni ya sungura sikia
Hadithi uliyongoja leo ninakuletea
Alitoka siku moja porini kutembelea
akayaona matunda mtini yameenea


Ni story tu jamaa anajuta kwanini alikuwa mwepesi kuhadaiwa na majuto sikuzote huwa yanabaki ni mjukuu. Anatamani leo angekuwa anatetea/kupinga posho bungeni lakini hana tena njia ya kumrudisha kwa sasa labda angoje 2015.
 
aliambiwa akili ya kuambiwa achanganye na ya kwake. yeye mjinga akachukua ya kuambiwa tu. imetafuna kwake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom