Mpendazoe akamatwa kwa kutishia bastola Shinyanga

Alamsiki Mpendazoe safari ya Ukombozi husitegemee barabara ya lami na VX, kuna sehemu lazima utachomwa na miiba jitahidi vuta pumvi bado mwendo kidogo tutafika.

Kwamba mahaka ya arusha ilipotoa arrest warranty kwa freeman mbowe, polisi kanda maalum ya dsm walihakikisha wanamkamata mara moja na kumsafirisha kwa ndege ya jeshi chini ya ulinzi mkali hadi arusha.

Kkwamba mpendazoe amekuwa akitafutwa na jeshi hilo hilo la polisi kwa kuwa anaishi dsm pale pale walipomkamatia mbowe na kumpeleka arusha, kwa maana kwamba polisi shinyanga na polisi dsm hawana mawasiliano na hawana ushirikiano.

Msiogope wakati wa kudai uhuru wakoloni walikuwa wakatiri mpaka waafrika wengine walikatwa mikono yao na bado uhuru ulikuja...in the end there is a way where there is a will!

Je katika hili tukisema ccm wanamiliki polisi watabisha, walipewa oda kutoka ccm makao makuu ili wamu harasi tu, eti alimtishia mtu bastola mwaka jana, alafu akamatwe leo, eti kwa kuwa alikuwa mbali tulikuwa tunamsubiri aje huku, sasa asingekuja je? inamaana polisi wa Dar hawa uhusiano na wahuko shy town? huyu kamanda wala hana aibu ni ccm full.

Siunajua R.Kisena na Riz1 wakoje mkuu? Jamaa angesemewa kwa Jk

ndo yale mambo ya kingship style of ruling mtoto wa mfalme naye mfalme mungu turehemu na janga hili..

Kwamba mahaka ya arusha ilipotoa arrest warranty kwa freeman mbowe, polisi kanda maalum ya dsm walihakikisha wanamkamata mara moja na kumsafirisha kwa ndege ya jeshi chini ya ulinzi mkali hadi arusha.

Kkwamba mpendazoe amekuwa akitafutwa na jeshi hilo hilo la polisi kwa kuwa anaishi dsm pale pale walipomkamatia mbowe na kumpeleka arusha, kwa maana kwamba polisi shinyanga na polisi dsm hawana mawasiliano na hawana ushirikiano.
Hiyo ndo polisi. Ipo siku tutayasahau yote.

Acha kuropoka unatuaibisha, aliyekamatwa ni Fredy Mpendazoe siyo Freman Mbowe.Uwe unasoma thread kwa makini dogo.

Bwahahaha hayo ndio mazingaombwe ya jeshi letu

Acha kuropoka unatuaibisha, aliyekamatwa ni Fredy Mpendazoe siyo Freman Mbowe.Uwe unasoma thread kwa makini dogo.

Mkuu unaonaje ukitulia ukasoma mawazo ya wenzako ukaelewa kuliko kukurupuka?
Amesema hivi, Kesi ya Mbowe ilikuwa Arusha lakini Mbowe alikamatwa Dar na kupelekwa kwa ndege Arusha.
Mpendazoe alifunguliwa kesi Shinyanga anaishi Dar lakini polisi walishindwa kumkamata, sasa kama mazingira ya Mbowe na Mpendazoe yanafanana inamaana Polisi wa Dar na Shinyanga hawawasiliani?
Ni hayo tu

msamehe bure, konyagi za tandale zinamatatizo yake.

Kwamba mahaka ya arusha ilipotoa arrest warranty kwa freeman mbowe, polisi kanda maalum ya dsm walihakikisha wanamkamata mara moja na kumsafirisha kwa ndege ya jeshi chini ya ulinzi mkali hadi arusha.

Kkwamba mpendazoe amekuwa akitafutwa na jeshi hilo hilo la polisi kwa kuwa anaishi dsm pale pale walipomkamatia mbowe na kumpeleka arusha, kwa maana kwamba polisi shinyanga na polisi dsm hawana mawasiliano na hawana ushirikiano.

Mkuu hata mm nimeshangaa sana hilo, kwani dsm hakuna jeshi la polisi?it simz huyo kamanda wa polisi Shinyanga ni kilaza na kusema hvyo amejiaibisha!

Back
Top Bottom