Mpemba Akitongoza

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Ntoto weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'u Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o... nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a... ntumee! miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e!
 
Asante Mkuu unajuwa (elewa)wazungu hasa watawala wetu ukimwambia Nice legs au nywele nzuri umependeza wanafurahi sana na kukuona wewe ni mtu wa maana kuona uzuri wake na atakupa thank you, kwani ametumia wakati kushevu miguu au kwenda saloon kutengeneza nywele ,sasa na sisi wapemba (zanzibar)tumerithi kwa wazazi wetu kutumia maneno ya matamu (mahaba) kwa maana nyingi wanasema maneno matamu humtowa nyoka pangoni,mwisho hatukuzoweya kutongoza mwamke kwa kumwambia na ku mind ,hapo umesha tongoza inakuwa imetoka that very (cheap)au kumwambia nakununulia beer kwa maana nyingine unamwambie indirect I want your body 2nite akinywa beer ndio imetoka hiyo hakuna (no class)akisha maliza kunywa hakuna mazungumzo nisafari ya kwenda ku Legs over sasa matongozaji hayo wapi nawapi na sisi mkuu mwanamke anataka ajihisi ume prishieti umbile lake,mapodozi bila ya kusahau na jinsi alivyo jipura.
 
Ni kweli kabisa jamii yetu na hasa watoto wa kike wamezkoea kuwa ukisifiwa tu kifuatacho ni ngono!!wana asume kuwa akisifiwa jamaa amefika bei anataka wawe wapenzi!!!!kweli kuna kasoro sehemu labda ndio maana kunakuwa hata hakuna comitment....sababu akiona miguu au nywele zingine anazifuata ....anatakiwa ajieleze kuwa ana nia gani na ww...sababu zake isiwe uzuri wa miguu wala nywele hz ziwe constant ajieleze anataka urafiki ili iweje?kucheza na ku past time au ana lengo maalum!!!yaani awe makini hapo hata kina fataki watashindwa kuwalaghai watoto hasa kwa kutumia sms kwa simu yaani ndip imekuwa short cut ya ajabu....unakaa na binti daladala akitoa no baada 20mins ana beep wananza ku chat next 2 hours inakuwa kama wanajuana miaka 10....wanaalikana lunch...next ameliwa kesho jamaa amekimbiaa.....jamii ibadilike sana...hasa kizazi hk cha bongo flavour
 
Asante Mkuu unajuwa (elewa)wazungu hasa watawala wetu ukimwambia Nice legs au nywele nzuri umependeza wanafurahi sana na kukuona wewe ni mtu wa maana kuona uzuri wake na atakupa thank you, kwani ametumia wakati kushevu miguu au kwenda saloon kutengeneza nywele ,sasa na sisi wapemba (zanzibar)tumerithi kwa wazazi wetu kutumia maneno ya matamu (mahaba) kwa maana nyingi wanasema maneno matamu humtowa nyoka pangoni,mwisho hatukuzoweya kutongoza mwamke kwa kumwambia na ku mind ,hapo umesha tongoza inakuwa imetoka that very (cheap)au kumwambia nakununulia beer kwa maana nyingine unamwambie indirect I want your body 2nite akinywa beer ndio imetoka hiyo hakuna (no class)akisha maliza kunywa hakuna mazungumzo nisafari ya kwenda ku Legs over sasa matongozaji hayo wapi nawapi na sisi mkuu mwanamke anataka ajihisi ume prishieti umbile lake,mapodozi bila ya kusahau na jinsi alivyo jipura.

Sasa wewe unaongea madudu gani tena?
 
Ntoto weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'u Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o... nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a... ntumee! miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e!

Ha ha ha ha ha ha ha ha ahsante sana XP....miguuyo injaa kama ndizi ya nkono wa tembo'o....LOL!
 
Roza;699609]hih ihiih ihihi so funny![/QUOTE]

what about this one??

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=86ka2cKepso[/ame]
 
Ntoto weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'u Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o... nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a... ntumee! miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e!

PASTER naimani unajuta hivi sasa kwani mara zote umekuwa ni mtu wa kuwa karibu na madili mazuri ya Mmungu,lakini katika maongezi yako ya leo umeanzisha mambo ya kimajabu matokeo yake unayaona Mmungu atakupa tahafif na akusamehe kwa machafu yeyote yatakayotokea katika mjadala huu
 
Nani kakwambia utani umekatazwa kwenye dini? cheka unenepe ndugu
 
PASTER naimani unajuta hivi sasa kwani mara zote umekuwa ni mtu wa kuwa karibu na madili mazuri ya Mmungu,lakini katika maongezi yako ya leo umeanzisha mambo ya kimajabu matokeo yake unayaona Mmungu atakupa tahafif na akusamehe kwa machafu yeyote yatakayotokea katika mjadala huu
Sonara, samahani kwa kusababisha mtafaruki nafsini mwako.
Mi nilifikiria huu ni ukumbi wa Jokes na Utani!

Insha'Allah Mwenyezi Mungu atuepushe na hayo yote machafu.
 
Asante Mkuu unajuwa (elewa)wazungu hasa watawala wetu ukimwambia Nice legs au nywele nzuri umependeza wanafurahi sana na kukuona wewe ni mtu wa maana kuona uzuri wake na atakupa thank you, kwani ametumia wakati kushevu miguu au kwenda saloon kutengeneza nywele ,sasa na sisi wapemba (zanzibar)tumerithi kwa wazazi wetu kutumia maneno ya matamu (mahaba) kwa maana nyingi wanasema maneno matamu humtowa nyoka pangoni,mwisho hatukuzoweya kutongoza mwamke kwa kumwambia na ku mind ,hapo umesha tongoza inakuwa imetoka that very (cheap)au kumwambia nakununulia beer kwa maana nyingine unamwambie indirect I want your body 2nite akinywa beer ndio imetoka hiyo hakuna (no class)akisha maliza kunywa hakuna mazungumzo nisafari ya kwenda ku Legs over sasa matongozaji hayo wapi nawapi na sisi mkuu mwanamke anataka ajihisi ume prishieti umbile lake,mapodozi bila ya kusahau na jinsi alivyo jipura.
Kwani wapemba wanakunywaga bia?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom