Mpeg 4 Digital HD receiver!

Hawa ndo kama mawaziri wa CCM hajui kitu lakini anatoa ufafanuzi.Tangu lini decoder ikakaa nje eti pale juu ya dish.Kadanganye facebook sio hapa.
decoder inakua nje. Pale juu ya dish. Receiver ni ile ya ndani unayo locate remote. Kama deck flan
 
Hakuna Decoder inayo wekwa nje juu ya Dish acha kuwadanganya wenzio jambo usilolijua kaa kimya wengine watamsaidia,
Decoder;Ina uwezo wa kupokea channel za kulipia na zile za Bure(Free to Air) ** za bure baadhi ya Decoder
Receiver inafungua channel za bure(free to Air) tu.
Inayokaa nje juu ya dish inaitwa LNB (Low Noise Block)

ha ha ha ha bro umenifumbua. Nlikua celew nkakisia tu! So transponder y e unawezanisaidia?

Kwenye c band au ku band!
 
Hawa ndo kama mawaziri wa CCM hajui kitu lakini anatoa ufafanuzi.Tangu lini decoder ikakaa nje eti pale juu ya dish.Kadanganye facebook sio hapa.

ha ha ha ha. C unajua katka kuchangia kaka mkubwa. Xo transponde ye e katka c band au ku band ! MSAADA.
ILA IWE TOFAUT NA TRANSPONDER ZA DSTV AU MYTV
 
Nauliza tena kwa nini nikiweka tbc kwenye receiver yangu star tv inatoka na nikiweka star tbc inatoka?
 
Nauliza tena kwa nini nikiweka tbc kwenye receiver yangu star tv inatoka na nikiweka star tbc inatoka?

du! kaka umekereka kweli. Fanya hiv, delete tp ambazo hazi2miki, pengine memory imejaa halafu blind scan decoder yako(ucfanye manual search) hili likishindwa zungusha lnb yako clockwise/anticlowise. Nasubiri fback
 
Mfumo wa FTA kupitia madish hautakwisha utakuwepo ila hautapatikana kwa CBand kama zamani ila kwa digital LNB au ku band.
Kitakachofanyika ni kubadilisha tu mfumo wa analogue kwenda digital. Sasa kwa wale watakaokuwa wanatumia zile LNB za cband hao hawataweza kupata kitu lakini watakaokuwa wanatumia kuband watatesa kama kawaida.
Mbona hata sasa tunaona Tv stations za digital kwa madish yetu? Kama unaona zile channel za Kenya au zile za Nigeria kama TBJoshua au zile za film ujue zile ni digital!

Watapata kama wengine kwani wao hawana hela za kununua KU band LNB?
 
du! kaka umekereka kweli. Fanya hiv, delete tp ambazo hazi2miki, pengine memory imejaa halafu blind scan decoder yako(ucfanye manual search) hili likishindwa zungusha lnb yako clockwise/anticlowise. Nasubiri fback

Yaani kaka niliwahi kuresert ikabaki haina kitu na nikajaribu ili niziweke hizo mbili tu! lakini nilipata majibu yale yale! nikiweka moja nyingine inakimbia nikiweka nyingine ile ya mwanzo inakimbia. Yaani hazitaki kukaa hizo mbili pamoja.
Labda nijaribu njia hiyo nyingine uliyoweka.
 
Back
Top Bottom