Mpe kwa dozi

Thats why i Love JF .... ! kitatokea kitu tu kitafanya siku yako iwe nzuri hata kama ilianza vibaya.
 
i think I will go with this mpe dozi ikiwa dharuri only.... kama homa ikiwa kali sana ndo apewe dozi
 
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.

Usiende kwenye vi-masi visivyorasmi lazima vina madhara japo viko cheap, nenda hospitali iliyosajiliwa.........ni ghali lakini watu wako profesheno.
 
Back
Top Bottom