Mpe kwa dozi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.
 
Mkuu MKJJ,
Hii kali.... ndio mkao wa kurelax baada ya kupasua kichwa sana kwa maswala ya kitaifa yasiyopata ufumbuzi?
 
Love the great thinking!
Who r u talking to here!??
let me think...
 
eeeeh babu sasa hiyo dozi itakuwaje? daktari gani naweza mwamini kwa 'prescriptions' za uhakika?
maana nahisi kuna mahali aweza kwenda wakampa bila hata kipimo
 
lakini wakale wanasema usiwe vuguvugu. kuwa moto au baridi kwa upeo wangu mdogo kiasi nakilinganisha na dozi
kwahiyo tutengue falsafa za watu wa kale?
 
Mkuu MKJJ,
Hii kali.... ndio mkao wa kurelax baada ya kupasua kichwa sana kwa maswala ya kitaifa yasiyopata ufumbuzi?

si unajua tena.. hii nchi isije kutufanya tukakosa hata cha kutabasamia (to smile about). So.. baada ya kufikiria sana (wink wink) nikaona ushauri huu unaweza kusaidia watu katika mahusiano yao bila kuweka pressure kubwa ya performance.. Nakumbuka dozi ya Klorokwini enzi hizo ilikuwa ni 4 4 2.. na ile ya Aspirin maarufu ya Kutwa mara tatu (2 x 3) .. halafu kulikuwa na quinini.. mara moja sijui kwa wiki hadi unashindwa kutembea.. naamini wahusika wakieleweka vizuri wanaweza kufanya uamuzi wa diet ya namna gani inawafaa..
 
MM,
sometimes dozi haiapply kila mahali!
kuna magonjwa mpaka upewe overdose ndo upone!
kuna mengine hata dozi hayahitaji, muda tu na yanapona!
 
MM,
sometimes dozi haiapply kila mahali!
kuna magonjwa mpaka upewe overdose ndo upone!
kuna mengine hata dozi hayahitaji, muda tu na yanapona!

Na kuna mengine unatumia dawa pale inapohitajika kwani ukitumia kwa staili ya kutwa au kwa siku mara kadhaa utapata addiction halafu inakuwa balaa.Hivyo kabla haujaamua unampaje,kuna kila sababu ya kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini hasa kwani anaweza kupata addiction na kazi zikawa hazifanyiki.
Pia kuna kitu kinaitwa drug tolerance,Salaaaale Mwanakijiji you have a point.
 
........Mpe kwa dozi au wapeane kwa dozi.Mwanakijiji una mafumbo wewe!!!!
 
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.

Hiyo dose.....Dr tupe contra-indication pia lol.Hii itasaidia kuamua kunywa au kuacha .
 
Kweli dozi yaendana na hali ya mgonjwa. Vinginevyo waweza jikuta 'wamuandadozi' ama vice versa
 
Ukimringishia sana atazira, ukimpa sana atatamba, ukimpa kwa kibaba atatafuta cha kujazia na usipompa kabisa yupo atakayempa tena bure! so.. fuata ushauri wa daktari.. mpe kwa dozi - ni ushauri tu.
usisahau na wale madaktari wenye vyeti feki heheeheh mgonjwa anaumwa na malaria wao wanatoa dozi ya TB.
 
Back
Top Bottom