Mpapai na Gunzi

IshaLubuva

JF-Expert Member
Dec 4, 2008
250
11
Kumekuwa na kawaida ya kuufunga mche wa Mpapai Gunzi wakati ukiwa unakua kwa imani kwamba kwa kufanya hivyo kutaufanya mpapai kutokuwa dume (kuzaa mapapai). Kawaida hii nimeiona sehemu nyingi katika nchi hii. Ningependa wataalamu wathibitishe iwapo kuna mahusiano kati ya ufungaji Gunzi na asi/i/tabia ya uzazi ya mpapa tafadhal
 
kwa kweli hata mie nishawahi kuona nikawa najiuliza ni jinsi gani lile gunzi linasaidia!watu wengi wanafanya hivyo!
 
Hakuna ushahidi wa kisayansi nijuavyo mie, na nahisi huo ni uzushi tu wa watu. Niliwahi fanya hivyo kwa mpapai wangu wala haukubadilika kuwa jike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom