Mpango wa mishahara dirishani

fimbombaya

Member
Apr 11, 2011
47
12
Jamani ule mpango wa serikali kulipa watumishi wake mishahara ya januar umeanza kutekelezwa au ilikuwa mbwembwe zao tu. Kwa alie na taarifa rasmi ya utekelezaji wake atujuze!
 
Mpango huo haupo.Baadhi ya watumishi katika Halmashauri wamelipwa mishahara ya mwezi January katika Akaunti zao.
 
ulikwepo mwezi december mwaka jana,na ilikuwa majaribio kwa mikoa ya dodoma,sumbawanga na pwani,it is too costly sababu inabidi kila mtumishi apewe check yake na kila check inaandikiwa vocha yake,..isn't that madness?nafikiri wameona hilo na wameupiga chini mpango mzima...
 
Mkuu, hakuna Mkoa unaitwa Sumbawanga ila ni Mkoa wa Rukwa! Hata hivyo nashukuru kwa taarifa hii!
 
watakapolipa dirishani watawafaidisha vijana wa kazi
nani atawajibika kufidia?
 
Jamani ule mpango wa serikali kulipa watumishi wake mishahara ya januar umeanza kutekelezwa au ilikuwa mbwembwe zao tu. Kwa alie na taarifa rasmi ya utekelezaji wake atujuze!

Wali hakiki tu watumishi kwa kuangalia salary sleeps, pamoja na vitambulisho na taarifa zingine, ila mimi mshahara wangu umeingia bank toka juzi, hivyo zilikuwa mbwembwe tuu.
 
Back
Top Bottom