Mpango wa kummaliza Dr. Slaa sasa umeiva na kazi imeanza kutekelezwa

Mungu atamlinda tu,wao si Miungu. Na hawatamuweza kwa lolote. Wataishiwa kuzomewa tuu,evrywhere. Wataumbuka oneday kama ni kweli.
 
Rais dhaifu lakini katili kama ibilisi. Natamani lile gulf stream siku moja liporomoke akiwa ndani yake.
 
Kama system ya usalama ipo hivi, kuna umuhimu wa kuiunda upya. Hii ibaki ni ya CCM. Kodi zetu zinatumika kukuza ujambazi loh.
 
Othman anaongea na Rama,wewe ulikuwa wapi?Kwa mtiririko huu nashindwa kuamini authenticity ya maneno haya.
wakati wamakontena ya Tunduma nilipitia michangao ya kila mtu na nikagundua ya kuwa palikuwa na mtu ana lead,mara RPC kaongea na huyu,mara subirini imepigwa simu kwenda huku na nikatahadharisha kuwa wachangiaji wawe waangalifu na narudia kwenye hii.This is hoax!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
.....hii methali inayosema ''LISEMWALO LIPO, NA KAMA HALIPO BASI LIKO NJIANI LINAKUJA'' kuna mtu yeyote anaweza akipingana nayo!!!!.
 
Nayaweza yote katka yeye anitiaye nguvu. Fil 4:13
T "Touch not my anointed ones, do my prophets no harm!"Psalm 105:15

[h=3]Isaiah 45[/h]New International Reader's Version (NIRV)

45 "Dr Slaa is my anointed king.
I take hold of his right hand.
I give him the power
to bring nations under his control.
I help him strip kings of their power
to go to war against him.
I break city gates open so he can go through them.
I say to him,
[SUP]2 [/SUP]‘I will march out ahead of you.
I will make the mountains level.
I will break down bronze gates.
I will cut through their heavy iron bars.
[SUP]3 [/SUP]I will give you treasures that are hidden away in dark places.
I will give you riches that are stored up in secret places.
Then you will know that I am the Lord.
I am the God of Tanganyika.
I am sending for you by name.
[SUP]4 [/SUP]Dr Slaa, I am sending for you by name.
I am doing it for the good of the family of Tanganyika.
They are my servants.
I am doing it for Tanganyika.
They are my chosen people.
You do not know anything about me.
But I am giving you a title of honor.
[SUP]5 [/SUP]I am the Lord. There is no other Lord.
I am the one and only God.
You do not know anything about me.
But I will make you strong.
[SUP]6 [/SUP]Then people will know there is no God but me.
Everyone from where the sun rises in the east
to where it sets in the west will know it.
I am the Lord.
There is no other Lord.
[SUP]7 [/SUP]I cause light to shine. I also create darkness.
I bring good times. I also create hard times.
I do all of those things. I am the Lord.

[SUP]8 [/SUP]"‘Rain down godliness, you heavens above.
Let the clouds shower it down.
Let the earth open wide to receive it.
Let freedom spring to life.
Let godliness grow along with it.
I have created all of those things.
I am the Lord.'"

[SUP]9 [/SUP]How terrible it will be for anyone who argues with his Maker!
He is like a broken piece of pottery lying on the ground.
Does clay say to a potter,
"What are you making?"
Does a pot say,
"You don't have any skill"?
[SUP]10 [/SUP]How terrible it will be for anyone who says to his father,
"Why did you give me life?"
How terrible for anyone who says to his mother,
"Why have you brought me into the world?"

[SUP]11 [/SUP]The Lord is the Holy One of Tanganyika.
He made them.
He says to them,
"Are you asking me about what will happen to my children?
Are you telling me what I should do with what my hands have made?
[SUP]12 [/SUP]I made the earth.
I created man to live there.
My own hands spread out the heavens.
I put all of the stars in their places.
[SUP]13 [/SUP]I will stir up Dr Slaa and help him win his battles.
I will make all of his roads straight.
He will rebuild Jerusalem.
My people have been taken away from their country.
But he will set them free.
I will not pay him to do it.
He will not receive a reward for it,"
says the Lord who rules over all.


Take these word carefully. Witchcraft will never win.
 
Nimeshaanza kunusa halufu ya damu katika hii nchi.hakika mwaka 2015 lazima kuna kitu kibaya kitatokea katika hii nchi maana mafisadi watumia njia zozote haramu ili wabaki madarakani na hapo ndio utakuwa mwanzo wa machafuko katika taifa letu.
 
Mnatafuta SCAPEGOAT! mzee wenu akianguka ghafla muanze kutafuta wachawi, mtu mwenyewe umri umeenda ameshapita Life expectancy ya mtanzania wa kawaida.
 
" Nimepokea vitisho vya kutaka kuuliwa zaidi ya mara tatu,taarifa nimeto kwenye vyombo husika na hakuna hatua zilizochukuliwa,
lakini nawahakikishia Watanzania vitisho hivi havita nirudisha nyuma katika harakati za kuwatetea watanzania wenzangu".

source: gazeti la Nipashe la leo


Namshauri Dr.Slaa afanye upelelezi mwenyewe kusha awakabidhi polisi na hiyo pia inategemea maana unaweza usifanyiwe kazi.


Jamani kama kweli kazi ya jeshi la pilisi ni kulinda raia na mali zake mbona maswala haya wanayapuuza? au wanasubiri mtu akisha uliwa ndipo waanze mchakato?,

Kama kiongozi mkubwa hivi analalamika na hatua hazichukuliwi inakuwaje kwa raia wa kawaida?

Kwali hii ndiyo Tanzania zaidi ya tuijuavyo.
 
Leo nimesikia kwenye uchambuzi wa magazeti wakimnukuuu Said Mwema, mkuu wa polisi akisema eti swala la Ulimboka ni SIRI YA TAIFA.

Aibu sana kwa jeshi letu la polisi na idara ya usalama wa Taifa, wameacha kutimiza wajibu wao wa kuwalinda raia sasa wamekuwa ni ma VAMPIRE, wanataka kutula nyama na kunyonya damu zetu.

CCM na vyombo vyake vya ulinzi na usalama mkifanya Namna yoyote na kuiondoa roho ya Slaa jueni kuwa huo ndio utakuwa mwisho wa uvumilivu tulionao. Tanzania hakuna amani wala nini tuna uvumilivu kidogo tu, and soon utatushinda
 
DR Slaa asikate Tamaa , japo Hao polisi hawana msaada wowote kwake na wala hawatakuwa na msaada hata kesho , aendelee kuripoti vitisho hukohuko polisi kwa ajili ya kumbukumbu tu.

Do not trust them, hasa hawa viongozi wa jeshi la polisi , wanatumika kisiasa , wako tayari kwa lolote kwa ajili ya waliowateua na marafiki zao, sakata la Mwakyembe ni ushahidi wa wazi kabisa , hakuna haja ya kuyarudia hapa.

Inafahamika kwamba hakuna ndani ya CCM anayeweza kusimama na Slaa 2015, hata wakiunganishwa Mafisadi watano, achilia mbali huyo mmoja, kwa hiyo ili kushinda kwa urahisi ni lazima Slaa ang'olewe duniani, iwe kwa kudra za mungu au hata za binadamu, bali umma ukiwa nyuma yako hakuna cha Tiss, Rpc wala koplo atakayeweza kukudhuru! Utalindwa na wananchi wenyewe .
 
Kama suala la Ulimboka ni siri ya taifa, mbona Kova alikuja na yule kichaa na kutueleza kwamba ndiye mhusika mkuu!
Nguvu wanayoitumia polisi kupambana na waandamanaji, kama wangeitumia kupambana na Uhalifu, leo hii Uhalifu nchi hii ingekuwa historia.
 
Wafanye upuuzi wowote, lakini wasimguse Dr Slaa!
Mimi naamini hakuna Jambazi, Jangili au Kibaka yeyote anayeweza kuthubutu kumuua Dr Slaa!
Likimpata lolote ujue ni mpango mkakati tu wa vyombo vya mauaji!
 
Back
Top Bottom