Mpango wa kummaliza Dr. Slaa sasa umeiva na kazi imeanza kutekelezwa

anyway dakta slaa ambaye ndio muhusika atachukua tahadhari au jamaa zake wakamtaarifu.
 
sote tunajua sio kila chanzo cha habari kinaaminika, anaweza akawa kaambiwa na rafiki yake ambaye naye kasikia tetesi kwani hakuna supportive docs zozote.
Kweli, ila kama kasema source ni yeye, hilo ni jukumu lako kuamini au kuto amini, kwamba yeye ni chanzo cha habari hiyo.
 
Chadema na Dr Slaa wapo mioyoni mwetu, so wakimuondoa nadhani ndo watatupa hasira zaidi za kumuenzi, ccm RIP
 
128861850380227922.jpg
 
Ridhiwani alikamatwa na madawa yeye mwenyewe?
lini ilikuwa?
madawa ya kiasi gani?
 
kwanza chanzo cha habari
pili hapo mwenye red juu kabisa dadvua tafadhali
tatu uchawi? una hakika kuwa uchawi ndio ulifanywa katika sakata la mwakyembe nani kathibitisha kuwa ilikuwa uchawi mkuu?

Hii habari nimeiona kwenye FB status ya mkwewe Dr. sijui ameitoa hapa au huyu Logo ndio ameitoa huko?
 
Last edited by a moderator:
Rubbish! auwawe kwa lipi mtu mwenyewe kishajifia huyo. Kama mnampenda kweli mwambieni aache ngono zembe ambazo ndiyo karibu zitamuua. Mushumbusi ndiyo wakumwendea kavukavu? chezea Josephine wewe!
 
kuhusu wachawi si mnakumbuka Mwakyembe alipata ajali mwaka juzi Iringa? Let me assure you katika hili Mungu atashinda
 
Back
Top Bottom