MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
according to the figures from nbs TZ will have 41.2 mio. people by now na si 43 kama msimamizi alivyosema na kama ni 41.2 mio. haiwezekani kukawa na wapiga kura 19 mio. hapa kuna utata! Katika chaguzi kama za Tanzania huwa kuna mpk 10% ya watu wasiojiandikisha ukichukulia ukiritimba wa serukali ilivyokataa kutoa mwamko unaopaswa kujiandikisha wananchi maana zoezi lilienda kisiri siri sana na ukizingatia kupiga kura si compulsory kisheria kama nchi nyingine!
Ndio maana vyama vina wakala kila kituo ili kukidhi haja na kuthibitisha idadi ya wapiga kura kwa kila kituo nchini. Sio rahisi kupika matokeo nje ya vituo kwani kila kituo kitakuwa na kumbukumbu ya wapiga kura na kitatoa idadi yao na waliojitokeza siku ya kupiga kula. jamani tusidanganyane kila chama kiweke mawakala kama sheria za uchaguzi zinavyosema ili kila chama kijiridhishe kuwa hakukuwa na mchezo mchafu. kwa mujibu wa tume ya uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka huo utakuwa na wapiga kura wasiozidi 500 kwa kila kituo jambo ambalo litarahisisha kuhesabu na kutoa matokeo mapema.