Mpango wa kijanja wa CCM Mwanza wagundulika

Massenberg

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
1,173
1,370
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche, CCM wamepanga kuwa na kadi nyingi bandia za Chadema ambazo watu watapangwa wazirudishe wakati wa maadhimisho yao Mwanza ili ionekane wameivunja ngome ya Chadema.
Anasema mpango huo umeshajulikana tayari ingawa hajaeleza hatua za kupambana nao.

Source: Page ya John Heche Facebook
 
yani ukíitwa mwana ccm pigana hadi mauti! Yani wanafikiri bado watu ni wadanganyika. Chadema kuweni macho, msiyumbishwe kwa jinsi yeyote. Acheni wafu wajizike. Madaktari wanadai mazingira ya kazi yaboreshwe, ccm inakazana kuwahadaa watz
 
kilaza siku zote kazi yake huwa ni kujihami tu

Huijui Mwanza wewe kalale,niko Mwanza Shooters Pub mitaa hiihii ya ccm Kirumba nakamua,hakuna jipya zaidi ya kuona malori yakisomba watu uwanjani ndani.
 
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche, CCM wamepanga kuwa na kadi nyingi bandia za Chadema ambazo watu watapangwa wazirudishe wakati wa maadhimisho yao Mwanza ili ionekane wameivunja ngome ya Chadema.
Anasema mpango huo umeshajulikana tayari ingawa hajaeleza hatua za kupambana nao.

Source: Page ya John Heche Facebook

John Heche Nimeipata hiyo habari ya ccm
kuandaa kadi feki ili kesho
zirudishwe kwenye kuazimisha
35 ya ccm huko mwanza ili
kurubuni watanzania kwamba
mwanza ambayo ni ngome yetu imebomolewa, huu ni
mkakati wao wa mda mrefu
ikwemo kununua viongozi
wetu, lakini hii haitaisaidia ccm
kubaki madarakani kwasababu
huu ugumu wa maisha kwa Watanzania, ufisadi
kupendeleana, hali mbaya
kwenye hospital zetu, kukosa
maji,elimu duni na mengine
mengi, haya yote hayawezi
kujibiwa kwa kununua kadi za chadema hata kama zingekua
million moja kwa nia ya
kuhadaa watu, vijana msiwe na
shaka hakuna kulala mpaka
kieleweke siku zao
zinahesabika sana. 2 hours ago ·
 
Back
Top Bottom