Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,516
- 1,865
Kila kitu ni usanii, make na zile nan hii, zile plan za magari yaendayo kasi yawezekana ni yale mabango ya kikwete ya uchaguzi kesha tumia hiyo pesa kwenye mabango ya ccm. Kama tangu uhuru mmeshindwa hata kufanya usafi kwenye mji uliopo wa dar, leo hii huo mji mtaujenga kwa pesa ya nani?