Mpango maalum wa CCM kuhusu madiwani wa CHADEMA

Nakei

Member
Nov 10, 2010
44
11
CHADEMA wamejenga taswira nzuri kwa kuwafukuza madiwani walio asi lakini kwa upande wa pili wamejipa mtihani mgumu hapo baadae. Inawezekana imekuwa hivi: Mgome alafu watawafukuza, wakishawafukuza nendeni mahakamani, kesi itacheleweshwa na nyie mtaendelea kuwa madiwani halali, wakati kesi inaendelea CCM wataridhia kurudia uchaguzi wa MEYA, wakati wa kupiga kura madiwani waliofukuzwa watawapigia CCM.
 
Safi sana, mpango mzuri na umeenda shule. Mimi niliwaambia Chadema, kwa kuwafukuza madiwani wanajichimbia kaburi lao wenyewe, sasa yanawakuta ya kuwakuta.
 
Aisee....mawazo tengefu kwelikweli.....but for how long will the mayor be in place? three years? tulisubiri miaka miaka 76 (1885-1961) miaka mitatu si kitu
 
CHADEMA wamejenga taswira nzuri kwa kuwafukuza madiwani walio asi lakini kwa upande wa pili wamejipa mtihani mgumu hapo baadae. Inawezekana imekuwa hivi: Mgome alafu watawafukuza, wakishawafukuza nendeni mahakamani, kesi itacheleweshwa na nyie mtaendelea kuwa madiwani halali, wakati kesi inaendelea CCM wataridhia kurudia uchaguzi wa MEYA, wakati wa kupiga kura madiwani waliofukuzwa watawapigia CCM.

Hivi kwa nini hawa ccm hawaonekani kutambua kazi waliyopewa? Nchi bado iko kwenye mgao wa umeme, wauza mafuta ndio kwana wamewaonjesha joto ya jiwe, migogoro ya ardhi ni kila mahali nchi hii, lakini bado utasikia kiongozi wa ccm anajishughulisha na CHADEMA wamekula nini au wameongea nini? Nchi imekosa kabisa mwelekeleo kwa sababu CCM wanawekeza kwenye siasa uchwara!
 
Waendelea kuota kuwabana chadema huku nchi ikizidi kuwa shinda. Wanaacha kuwabana wauza mafuta wanao wapa masaa 24 kupandisha bei wanaelekeza akili zao mbaya kwa chadema.
 
Safi sana, mpango mzuri na umeenda shule. Mimi niliwaambia Chadema, kwa kuwafukuza madiwani wanajichimbia kaburi lao wenyewe, sasa yanawakuta ya kuwakuta.
Mtu katoa wazo(inawezekana ikawa hivi) wewe una conclude una akili kweli, Masaburi hakukosea wako wengi.
 
hamna kitu kama hiyo hao madiwani wakileta za kuleta tunawahamisha arusha.
hatutaki wasaliti wanaorudisha nyuma maendeleo ya demokrasia.
na hao ccm hawawezi kitu kwani hakuna mahakamayoyote duniani inayoweza kukilazimisha chama kuwa na mwanachama fulani.
ila wanachoweza ni kuruhusu mgombea binafsi na wakiruhusu hiyo wamekwisha.
 
Mtu katoa wazo(inawezekana ikawa hivi) wewe una conclude una akili kweli, Masaburi hakukosea wako wengi.
Na wazo lenyewe halitekelezeki,

sisi tuliwaambia toka mwanzo hawa madiwani wanacheza na moto watakuja kuwa flashed out na hakuna wa kuwasaidia, kina Mwita25, Ritz, Faida Fox na wenzake wakasema watawasaidia kwenda mahakamani mbona mko kimya wasaidieni sasa mmewaponza wenzenu.
 
Inasikitisha jinsi gali ulivyo haujui sheria na kanuni za kumfanya mtu awe diwani au kiongozi wa nchi.
-kwanza kabisa nchi yetu haitambui mgombea binafsi, ingawa mtikila alijitahidi kulipigania hilo,
kwa maana hiyo hakuna kiongozi yoyote (Diwani, Mbunge na Rais) atakayeendelea kuwa na cheo hicho kama
si mwanachama wa chama chochote cha siasa kinachotambulika kisheria.
-Chadema hawakuwafukuza udiwani (rejea tamko la Mhe: Mbowe), walichofanya ni kuwavua uwanachama wa chama cha Chadema.
kwakuwa sheria za nchi hazitambui mgombea binafsi, basi madiwa wanakuwa wamevuliwa udiwani wao.
-Chadema ilichokifanya kwa mujibu wa kanuni na sheria ni kuandikia mamlaka husika na kuwataarifu kuwa diwani Mallah, Bayo, Ngowi,
Mpanda na Rehema si wanachama wa Chadema.
-Kamati kuu ya Chadema inayo mamlaka yakumvua mwanachama yoyote atakayeenda kinyume na sera za chama.
-Madiwani wote kwa wingi wao wamevuliwa uwanachama na hawawezi kuingia kwenye kikao chochote cha madiwani kwakuwa si wanachama
wa chadema chama ambacho kiliwapa ridhaa ya uongozi.
-Mwisho, Meya hawezi kuchaguliwa kwani sheria zinasema anatakiwa achaguliwe na 2/3 ya madiwani wote, ukitoa madiwani waliofukuzwa
na madiwani waliobaki wa chadema ambao wameazimia kugomea vikao hadi muafaka ufikiwe, madiwani waliobaki hawafikishi idadi inayotakiwa.

Naomba kuwakilisha.
 
Safi sana, mpango mzuri na umeenda shule. Mimi niliwaambia Chadema, kwa kuwafukuza madiwani wanajichimbia kaburi lao wenyewe, sasa yanawakuta ya kuwakuta.

Masaburi yatatupeleka pabaya sana, akili zimeshanaganyika na hja kubwa.
 
Uchaguzi hauwezi kurudiwa km kesi bado iko mahakamani, kama ccm wakilazmisha kuchelewesha kesi kwa makusudi au kulazmisha uchaguzi urudiwe wkt kesi haijaisha Arusha patanuka, watu wamechoka na udictator wa magamba.
 
Safi sana, mpango mzuri na umeenda shule. Mimi niliwaambia Chadema, kwa kuwafukuza madiwani wanajichimbia kaburi lao wenyewe, sasa yanawakuta ya kuwakuta.
<br />
Ulimwambia nani wewe juha,coment zako wewe ni kama mchawi unamulika mchana usiku unachoma kilaza wewe.
 
Unajua magamba walitaka hio issue ya madiwani isimalizike haraka hivyo kwa wakati wa kampeni wangesema CDM nao ni kama wao. sasa kwa yaliyotokea magamba bado wapo gizani. unajua hii ilitokea mara tuu baada ya cc ya magamba kukaa na kuongeza siku zingine 90. sasa waliposiki wenzao hakuna cha siku wala nini wamechanganyikiwa sana. Tangu issu ya kufukuza madiwani nani amemsikia nepi? Ndo maana hata pinda kwanza alikubaliana na mbowe, lakini aliposikia kuwa madiwani wamefukuzwa akaruka kuwa hakukuwa na makubalino kati yake na mbowe.

kwa wale wasiojua magamba hawawezi kufika popote. maana kadri tunavyosogea kweny uchanguzi ujao ndo kwa wanakuwa na wakati mgumu zaidi. nyie suburini.
 
Back
Top Bottom