Elections 2010 Mpangilio wa picha za wagombea 2010

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Wakuu kama tutakumbuka toka mfumo wa vyama vingi uanze in 1995 kila uchaguzi mgombea uraisi wa CCM picha yake huwa ya kwanza kwenye ile karatasi ya kura, i.e far left.

Je mwaka huu vyama vya upinzani wamewasiliana na tume kuhakikisha kuna mabadiliko as such to have Kikwete sandwiched somewhere in between wagombea wote. I am sure CCM haiko tayari kwa hili hasa ukizingatia upepo hauko on their side. Je si wakati muafaka kwa CHADEMA kukomaa ili Dr. Slaa asiwe sandwiched na kibongobongo kuconfuse the voters?????????????
 
Tume ya uchaguzi inatakiwa iwe na formula ya mpangilio wa majina, either wafanye draw, au wafuata alphabet kama mitihani ya sule namba zinavyobadikwa why uchaguzi kwa jinsi wanavyotaka. Lakini nadhani huwa wanaanza na yule aliyeanza kuchukua form na siku zote ccm ni wa kwanza (Unakumbuka 92 CCM ina cheti cha kuandikishwa No 1 na Komba akatoka na wimbo CCM nambari One)
 
Yea this is true mkuu, someone might think this doesn't matter lakini it matters alot especially in our society where illiteracy is in some tens of percentage.

Utasikia tu visingizio vya NEC when this issue is raised.
 
Hahahaha, ni hoja ya msingi kabisa. Nafikiri hapo jamaa zetu wa kijani watalia kinoma maana hapo ndo itakuwa kuwaaliza kabisa. Bibi yangu, na watu kibao wanaambie tu "wa kwanza ndo huyo huyo" Hahahaha! safi sana mkuu. Ila kazi ipo kuwaengua hapo mwanzo.
 
Ndiyo mkuu and that's why nafikiri kuna haja ya kutengua hii desturi, Sandwich Kikwete si anakubalika?
 
comedy

Wakuu kama tutakumbuka toka mfumo wa vyama vingi uanze in 1995 kila uchaguzi mgombea uraisi wa CCM picha yake huwa ya kwanza kwenye ile karatasi ya kura, i.e far left.

Je mwaka huu vyama vya upinzani wamewasiliana na tume kuhakikisha kuna mabadiliko as such to have Kikwete sandwiched somewhere in between wagombea wote. I am sure CCM haiko tayari kwa hili hasa ukizingatia upepo hauko on their side. Je si wakati muafaka kwa CHADEMA kukomaa ili Dr. Slaa asiwe sandwiched na kibongobongo kuconfuse the voters?????????????
 
Nimetaarifiwa na some very reliable source (jina kapuni kwa sasa) kwamba hilo haliwezi kutokea JK will not and never get sandwiched!
 
sahau hilo kutokea as Tume ya uchaguzi ya Tanzania ni tawi/department ya CCM
 
Hilo lilishatolewa ufafanuzi na Tume ya uchaguzi miaka ya nyuma kuwa wanafuata alphabetic order ya majina ya vyama. Ukiangalia vifupisho vya majina kama CCM, CHADEMA,CUF, DP, TLP, UDP, UMD, UPDP, nk. CCM ndicho kinapata advantage ya kuanza. Bahati mbaya sana CCJ hakikufanikiwa kupata usajili wa kudumu ndicho kingesababisha CCM kuwa sandwiched. Labda mwaka 2015 CCK kikipata usajili wa kudumu kitafanikiwa kupangwa wa kwanza iwapo kitasimamisha mgombea urais.
 
At last I am happy on this one:

Mpangilio utakuwa kama ifuatavyo:

1: APPT-Maendeleo; Peter Mziray
2: CCM; Jakaya Kikwete
3: CHADEMA; Dk. Willibrod Slaa
4: CUF; Profesa Ibrahim Lipumba
5: NCCR-Mageuzi; Hashim Rungwe
6: TLP; Mutamwega Mugahywa
7: UPDP; Fahmi Dovutwa

For the first time mgombea wa CCM anakuwa sandwitched!
 
Peter Mziray si aliondolewa kinyemela au yule mwenye kesi mahakamani ni nani.
 
Back
Top Bottom