Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpangilio wa Ajali...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Jul 19, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Awamu ya kwanza ya Mabomu ya JWTZ yalianzia Mbagala, yakaua Watanzania takriban 33!
  Awamu ya pili yakafuatia GongolaMboto, yakaua waTanzania wasiopungua 25.

  Awamu ya kwanza Meli ya MV SPICE, iliua Watanzania si chini ya 1700.
  Awamu ya pili meli ya kampuni ya Seagul, imeua Watanzania kwa kubwa tu(bado haijajulikana).

  Hii inaonekana ni series au mfuatano fulani wenye mpangilio makini sana, na usiojibadili!....yaani strikes mbili kwa kila sekta!

  Jiulize, strikes mbili zinazofuata zitahusu sekta gani?
  ...Jiulize...Tafakari...Chukua hatua!
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,144
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  mbona za ndege hujaweka? au umesahau ilimuua akukweti? itakayofuata ni ya treni na zitkuwa mbili na hapa ni before uchaguzi.
   
 3. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,027
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  kinachofuata jengo la bunge litachomwa moto wote watafia ndaniu
   
 4. K

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 5,924
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 280
  Prof aliyevamiwa na kuuwawa kwake mbona hujaiweka?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa najaribu kuweka hadharani hizi ajali zenye series ya ajabu na ya kutishatisha. kwanini zinatokea mbilimbili? kuna mkono wa chuma nyuma yake?
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Nikiangalia kwa makini nauona kweli mpangilio wa hizo ajali na kwa mbali nahisi ni kujaribu kudivert attention ya jambo ambalo linakuwa linawasumbua watawala!!!! Angalia kwasasa, habari za mgomo wa madr, kuteswa kwa Ulimboka (Dr) na mfumko wa bei yote yamewekwa pembeni!!!!
   
Loading...