Mpangaji NHC afyatua risasi kuzuia kuhamishwa.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
Mpangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mzee Kibore, anayeishi mtaa wa Agrey, amegoma kuhamishwa katika nyumba ya shirika hilo, na kufyatua risasi mbili hewani ili kuwatimua wadai hao.
Ujumbe wa wahamishaji hao uliomba msaada wa polisi, nao wakaja na kumkamata mpangaji huyo mkorofi.
Kwa sasa yupo chini ya ulinzi kituo cha polisi M/Mmoja.
Source: Channel Ten HABARI
 
siyo jeuri si anaona wengine wanavokula bila bughudha sasa anajiuliza kwanini yeye asumbuliwe?? Mfano mzee six kakatalia nyumba ya spika, magufuli na wenzake wameuza nyumba za serikali bureeeeee. mifano michache tu hiyo.
 
Manina walahi kajinunulia kesi huyo ... Watamfunga
 
Kama wewe siyo mstaarabu shurti uhamishwe kwa nguvu. Kama wewe ni muungwana lazima uzingatie masharti ya mkataba.
sema jamaa nao wamezidi. Ndo mambo gani kuhamishana kwa nguvu...
 
Ni wajibu wa mpangaji kulipa kodi kwa mujibu wa mkataba wake na mwenye nyumba. Ambacho sijakijua, hivi NHC ndiyo huyo mpangaji pekee anayedaiwa? Sitaki kuamini zoezi la kuandaa waandishi na bahasha zao just kumfukuza mwenye deni la 1.5m. Si ajabu hata zoezi zima lina mkono wa mpangaji mpya.
 
Maskin jirani yangu wa zamani Kigoma! Macho Kibore alikuwa tajiri mkubwa Kigoma! Ana asili ya Kongo lakini ni MTZ. Mwaka 2008 aliuza bungalow lake la ghorofa moja pale Kigoma mjini kwa karibu m100! Naona jirani kaanza kufirisika! All in all ana kiburi sana cha pesa BUT sasa amepatikani na bonge la kesi ya Jinai
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom